Swali kwa wana Mwanza,je digitek,imesha zinduliwa leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wana Mwanza,je digitek,imesha zinduliwa leo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PRINCE CROWN, Feb 28, 2013.

 1. PRINCE CROWN

  PRINCE CROWN JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 4,404
  Likes Received: 1,446
  Trophy Points: 280
  ndg,zangu wana mwanza,napenda kuwapa pole na harakati za kuelekea leo saa 6;00 usiku kuzimiwa mitambo ya analogia na kuingia rasmi,digitali,swali langu kwenu,tunajua kuna kingamuzi kinaitwa digitek,ambacho ni ushirika wa makampuni 2,yaani saara midia na ipp midia,jina lake na contnento,kimekua kiki tangazwa sana na star tv na itv,kwamba kitakua hewani ivikaribuni mpaka tumechoka sasa kila siku hadithi njoo uongo njoo utamu kolea,je huo mwanza vimesha wekwa sokoni,na orodha za chaneli zake,na bei ni shlng ngapi,naomba mwenye ditels atujuze,hapa,asanteni,
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,595
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jana kwenye eatv walitangaza kipo tayari na kinauzwa 145,000, kina chanel za free za Tanzania 10 na za nche za free 20, hakuna kulipia kwa mwezi..!
   
 3. w

  white wizard JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2013
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,437
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Yaani hao digitek ndio,hamna ki2 kabisa!promo yote ile ni wizi mtupu,chaneli zote walizo nazo ni za bure(ft) hata ukiwa na dish la kawaida utazipata,mala mia hata startimes wana angalau,za kulipia kama sentanta africa,MGM,EURONEWS,nk,kati ya kampuni iliyochemka kwenye ving'amuzi ni hawa ipp,hamna chaneli za maana baadhi ya chanel ni zote za hapa tz,cctv 9,arilang,citizen'aljazeera,emanuel tv,nk.
   
 4. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2013
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mwanzo mgumu wataongeza. kwani hata hao startimes si walianza na fta+zile zao.
   
 5. I

  Izzo G JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2013
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 418
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  we uoni kwamba hulipii kwa mwezi si sawa tu na kununua dish
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,183
  Likes Received: 2,816
  Trophy Points: 280
  Tatizo huwa wanakurupuka tu..dish laki 2,digitek laki na 60 na hakuna kulipia.
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2013
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kama kuna mtu ana orodha kamili ya channel za digtek aziweke hapa, ninahitaji kuzifahamu kabla sijafanya uamuzi
   
Loading...