C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Mfano umeendesha gari ghafla kuna mtu kakugonga kwa gari lingine kushuka na hasira zako unakuta ni mdada bonge la mdada mrembo ana kila kitu kakamilika kila idara **** **** shepu anayo kiuno dondola nywele za kibrazil ila ni sio za mmasai hatumii mkorogo ila ni mweupe na hiii ni baada ya kujihakikishia kuwa ni fanta juu mpaka chini mweupen usoni hadi kwenye vidole vya mguu, sauti kama ya wema sepetu, gari alilokukwaruza nalo ni bmw x5 qn
Anakutajia majina yake jina la tatu lina ring bell kichwani kwako kwani ni la mzee alyewahi kuwa waziri unagundua yupo single (Kwa wanaume)
(Kwa wanawake)unakutana na mkaka huyooo mrefu chest chest misuli kwa sana mdomoni o ya nguvu kavaa shati na suluari za zara kiatu cha italy origial kama ziuzwazo na mboni masimba, kanin'giniza kitambulisho ukisoma vizuri unaona neno director ukiangalia vizuri ni wb world bank sauti matata gari alilokukwangulia nalo ni e vogue
Unagundua hajaoa na hana mchumba
Je utamkazia akutengenezee gari lako au utajifanya una manners ili akupe credit kuwa wewe ni mstaarabu ili umuweke kwenye anga zako?