Swali kwa Wakenya: Bado mnamhitaji Magufuli awe Rais wenu?

Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
Yupo msomi mmoja anajiita Lumumba bado anajipendekeza
 
0f3ca6a0c9c3212ba08bd5476fedf5ca.jpg
si sawa kumfafananisha JPM na materrorist....nyie Jubilee mnamshindwa Raila mtamuweza JPM..na hizo lori mnadhani wanaokuja hayo mazao ni watanzania pekee?
Haya mambo yanahitaji hekima na busara kuyashughulikia sio siasa na ubabe
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
We fala Sana,kwani Magufuli anaongoza wakenya au Wtz?
 
Waafrika bana ndio maana hatuendelei, hakika naungana na Mh. Donald Trump kuwa Afrika inapaswa iendelee kutawaluwa kwakua hata haki zetu za msingi hatuzielewi hususani ''Uhuru " wetu waafrika. Lazima Wakenya watambue Uhuru wake unapoishia ndipo Uhuru Wetu au Nchi nyingine unapoanzia hivyo eidha wanamchukia(hate) au wanampeda(love)Magufuri si hoja lamsingi anatekeleza ktk kusimamia Sheria, kanuni na utaratibu wa Nchi yetu

Ushauri kwa Wakenya na baadhi ya wabongo wanaoshadadia ktk kumlaum Mh. Magufuri.
Wakenya wanatakiwa wamlaumu Mh. Uhuru Kenyatta kwa kuodhi Maeneo Makubwa yy na baadhi ya Tabaka tawala ambao wamepelekea Kenya kuwa na uhaba wa ardhi pia sehemu kubwa ya maeneo yamebinafsishwa kwa wazungu , hivyo kumnyooshea kidole Magufuri ni kutafuta lawama zisizo za msingi

una uelewa wa hali ya juu sana kwenye issues hizi.
yaani wale vijakazi wa mafisadi kutwa kumlaumu rais. usikute hata yale mafuriko ya Dar majuzi wanamlaumu rais. useless.
 
ukisikia upumbavu huu ndiyo namba moja. wee unafikiri JPM ana muda wa trivial issues kama vifaranga.

kwanza kama JUBILEE ndiyo walioongea hii kauli, nawapa pole wakenya.
Ukisikia ufala ndio huu, umeelewa kinachosemwa? Jpm kwa nini kila kitu lazima ajibishane?
 
Hamna nchi ambayo haiwezi kutaka usimamizi wa rasilimali wa Magufuli! Hapa watamkataa kwa vile anawafinya.
 
Ukisikia ufala ndio huu, umeelewa kinachosemwa? Jpm kwa nini kila kitu lazima ajibishane?

huna ujualo wewe kijakazi wa mafisadi ambao kazi yenu sasa haipo tena. imebakia kupinga kila kitu anachosema au anachofanya rais.
 
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya

Some of the responses here....

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/04/158991_bdc0cebf46245aa74bdcd075fb0f3e4d.gif
 
Nchini kenya wengi wanampenda rais Magufuli kwa vita vyake vya ufisadi..lakini watanzania wengi nimekutana nao wanalakamika.MBONA
 
Back
Top Bottom