Swali kwa Wakenya: Bado mnamhitaji Magufuli awe Rais wenu?

Nibozali

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
572
Likes
1,051
Points
180
Nibozali

Nibozali

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
572 1,051 180
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
14,193
Likes
18,348
Points
280
Age
21
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
14,193 18,348 280
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
Kukurupuka kwa waafrika, mbuzi mbuzi!
 
Mtemi mpambalioto

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
1,201
Likes
1,620
Points
280
Mtemi mpambalioto

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
1,201 1,620 280
su bu tu u u u u
 
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
2,230
Likes
1,356
Points
280
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
2,230 1,356 280
Muda huongea ukweli daima.
 
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
2,230
Likes
1,356
Points
280
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
2,230 1,356 280
Muda huongea ukweli daima.
 
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
2,230
Likes
1,356
Points
280
J

Jaimee

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
2,230 1,356 280
Muda huongea ukweli daima.
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
26,752
Likes
29,187
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
26,752 29,187 280
Upende usipendo ndo Rais hadi 2025
2025?? Miwili hii tuu noma, mpaka anasema "nilisukumiziwa' unazani mchezo?
Kwa vile alisukumizwa basi 2020 tunamsukumiza out tena.
 
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Messages
10,237
Likes
6,191
Points
280
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2008
10,237 6,191 280
Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Bila shaka kichwa chako kinaongozwa na njia ya haja kubwa!. Hakuna mtu mwenye kichwa atashindwa kuelewa swali la mtoa mada. Ni mpumbavu pekee asiye haya, ndiye anayeweza kudiriki kuuliza swali la kipumbavu linalomdhalilisha na kudhihirisha kumbe hata moyo wake uko tumboni! Idiot!
 
Kipapatiro

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Messages
889
Likes
1,069
Points
180
Kipapatiro

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined May 18, 2017
889 1,069 180
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!

Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
“Kenya-Tanzania relations are longstanding, rich and complex and should not be jeorpadised by a hardening of positions over minor issues that can be easily resolved through candid and open dialogue,” Kenya's Foreign Affairs Political and Diplomatic Secretary Tom Amollo is quoted as having told Pindi during the meeting in Nairobi Read more: Kenyan govt angry after Magufuli burns over 6,000 chicks,sells cattle confiscated from Kenyan herders
 
Forum statistics

Threads 1,215,028
Members 463,005
Posts 28,532,649