shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,325
Wadada wazima?
Hivi ni kweli mkishakuwa katika mahusiano mengi aka kukutana na madushelele tofauti inakuwa ngumu kutulia kwenye ndoa?
Nitafurahi sana wadada mkinipa ukweli kwenye hili, maana humu hatujuani, msifiche kitu,
Bibi harusi yupo tayari, wachangaji wapo tayari, wazazi wapo tayari, wazamiaji wapo tayari, wapenda shughuli wapo tayari, wacheza kwaito wapo tayari, wafanyakazi wenzake wapo tayari, mashost aka Maids wapo tayari, sema muoaji ndio bado anasita sita anajiona kama hayupo tayari akikumbuka past ya mwanamke anaempenda..
Hopin mnaikumbuka thread ya Past yake inanirudisha nyuma ya yule bank teller wa rafiki yangu, sasa mpaka leo hatujapata majibu..
Wadada tunaomba mfunguke ukweli toka moyoni