Swali kwa Rais Dr.Magufuli:Ni lini waliokula mishahara hewa watafikishwa Mahakamani?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,468
Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa, rejea swali hapo juu. Mi sina uwezo wa kukuona nikuulize swali hili. Ila nakuamini sana ktk utendaji wako. Wengi wamefikishwa mahakamani kwa ufisadi ila hawa waliokula mishahara hewa ya watu takriban elfu 19 kwa muda mrefu ni lini utaanza kuwakamata na kuwashtaki na ikiwezekana warudishe fedha hizi za umma?
 
Ningependa pia jambo hili lifanyike. Maana wasipowajibishwa hawatajifunza lolote.
 
Hata mimi huwa najiuliza sana swali hili. Hivi ni kweli kuna watu walikuwa wanapokea mishahara hewa? Rais huyu kwa jinsi anavyopenda sifa hao si wangekuwa mtaji wake? Jibu la haraka ni kwamba watu hewa walikuwa wanakula mishahara hewa, basi
 
Tuliambiwa walikuwa elf 19. Usichanganye na vyeti feki, Hawa walifukuzwa kazi. Je Hawa waliokula hewa mbona kigugumizi!
 
Pamoja na hewa na feki kuondolewa bado hakuna nyongeza wala ajira mpya hizo pesa zilizookolewa zinaenda wapi?
 
Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa, rejea swali hapo juu. Mi sina uwezo wa kukuona nikuulize swali hili. Ila nakuamini sana ktk utendaji wako. Wengi wamefikishwa mahakamani kwa ufisadi ila hawa waliokula mishahara hewa ya watu takriban elfu 19 kwa muda mrefu ni lini utaanza kuwakamata na kuwashtaki na ikiwezekana warudishe fedha hizi za umma?
Alishasema ukijifanya kumshauri ndo umeharibu kabisa.......
Mwache yeye ana priorities zake ambazo hazihojiwi wala kupingwa
 
Mithali 11.14 yasema pasipo mashauri taifa uangamia,hakuna nchi iliyowahi jengwa kwa mawazo ya MTU mmoja ni lzm itaangamia.Bali palipowengi hakuna kinachoharibika
 
Huu ndo ukweli lkn tangu ln binadamu akapenda ukweli....... Hata mkuu anapenda zaidi umbea na kusifiwa kwa mfano kuambiwa anapendwa na watz wkt kiuhalisia hakuna anayempenda labda wale tu walioagizwa na gwajima
 
Wanapenda pesa yake ataelewa siku system ikimtema hata musiba anapambia maslai yake yakikoma ndipo ukomo wa sifa
 
Haikuwa mishahara hewa kwavile walikuwa wanafanya kazi.ila walikuwa na vyeti feki/siyo vyao. Hata hivyo MAGUFULI hajawahi kuchukia vyeti feki... kwann DAUDI ALBERT BASHITE BADO YUPO OFISINI .
Hata mimi huwa najiuliza sana swali hili. Hivi ni kweli kuna watu walikuwa wanapokea mishahara hewa? Rais huyu kwa jinsi anavyopenda sifa hao si wangekuwa mtaji wake? Jibu la haraka ni kwamba watu hewa walikuwa wanakula mishahara hewa, basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom