Swali kwa – Nguli, FL1, Kaizer, bht, MJ1, Babra, Geoff, De Novo, PJ, Fidel,Preta, Kir

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Nguli - Potelea mbali jirani yako akipata ajali ya moto au kuuguliwa na mwanae
unakuwa wa kwanza kumsaidia pasipo kujali mahusiano yenu. Kwanini?

First Lady1 - Kwanini si lazima kwako wewe kwenda kumsalimia waziri wkati huko
vijijini wanapanagana barabarani japo kumpungia mkono?

Kaizer - Si lazima lakini umekuwa mstari wa mbele kuhahakikisha kuwa JF members wanaonana na kushirikiana?

bht - Kwanini huoni umuhimu wa kwenda kutoa michango yako ya mawazo kwa
wanawake wa huko vijijini kuliko hawa wa hapa JF ambao wengi wao ni waelewa na wana nafasi ya kupata elimu hii hata kutoka kwa waume au wapenzi wao?

MwanajamiiOne - Kwanini unaona kuwa ni wajibu wako kuokoa ndoa au mahusaino ya watu yasivunjke?

Babra - Je hujawahi kutamani kuwa na kitu amabcho mwenzako anacho? Kama ndiyo kwanini? Kama hapana kwanini?

Geoff - Nani alikushauri kuoa? Je kama hakuna aliyekushauri ni nini kilichokusukuma au kukushawishi? Je ni kwasababu bra wako Xpin ameoa?

De Novo - Wewe kama mpiganaji hujawahi kuwa kigeugeu kwenye kusimamia maamuzi yako yako? Jibu lolote lipe sababu

PakaJimmy - Kwanini uliamua kuwapeleka watoto wako international school?

Fidel80 - Watoto yatima wakihitaji usaidizi na msaada wako unafikiria kuwapa au
kuwaambia au kuwasaidia nini? Na je ndoa ya rafiki yako ikivunjika
unategemea kumsaidiaje?

Preta - Kwanini umsaidie mama mjamzito vifaa vya kujifungulia wakati ni jukumu la
serikali?

Kiranga - Unahisi kuna sababu ya kukuuliza swali lolote kuhusiana na imani ya dini
yoyote?

Chrispin - Sababu gani ilikupelekea kuanza mazoezi ya kukimbia kwenye
fukwe za bahari asubuhi kila siku?

Mzee Mwanakijiji - Je tuanze kuandaa rambi rambi na maturubahi pamoja na vyakula kwa waathirika wa mafuriko kwa wakaazi wa mabondeni?

Sipo - What is more personal and most general?
 
Geoff - Nani alikushauri kuoa? Je kama hakuna aliyekushauri ni nini kilichokusukuma au kukushawishi? Je ni kwasababu bra wako Xpin ameoa?
hehehe!
well,nadhani wito wangu ulikuwa ndoa au UPADRE
 
hehehe!
well,nadhani wito wangu ulikuwa ndoa au UPADRE
Haha haha mpwa sitaki kukuuliza kwanini uli-opt ndoa badala ya upadre. Kamilisha kwanza jukumu liliko mbele yako. Nitakutwanga hilo swali baada ya project next week
 
Haha haha mpwa sitaki kukuuliza kwanini uli-opt ndoa badala ya upadre. Kamilisha kwanza jukumu liliko mbele yako. Nitakutwanga hilo swali baada ya project next week
"What is more personal is most general"
 
Charity - kwanini hujatumia ushawishi wako wa kidini kuhakikisha kuwa vijana wa JF wamempokea Mola hasa Bluray na Kiranga? Na je kubadili jina ina maana ya kutangaza upya wa kifamilia au kiuchangiaji?
 
MwanajamiiOne - Kwanini unaona kuwa ni wajibu wako kuokoa ndoa au mahusaino ya watu yasivunjke?
kwa sababu naamini kuwa ni mpango mzuri tu wa MUNGU kuwa ndoa zinapaswa kudumu na hazikuwekwa ili zivunjike ingawa kwa akili zetu za kibinaadamu tunashindwa kuzidumisha.

Aksante Mheshimiwa Supika
 
kwa sababu naamini kuwa ni mpango mzuri tu wa MUNGU kuwa ndoa zinapaswa kudumu na hazikuwekwa ili zivunjike ingawa kwa akili zetu za kibinaadamu tunashindwa kuzidumisha.

Aksante Mheshimiwa Supika

  • Asante kwa jibu la kutoka moyoni mwako MJ1, Swali la nyongeza kwakuwa hivi karibuni Ndg. Geoff atapata wife. Je huoni umuhimu wa wewe baada ya harusi yao kuwaalika nyumbani kwako na kuwapa ushauri wa kuiweka ndoa yao kwenye magrudumu mapya kila siku?
 
Back
Top Bottom