MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Sipo
- Asante kwa jibu la kutoka moyoni mwako MJ1, Swali la nyongeza kwakuwa hivi karibuni Ndg. Geoff atapata wife. Je huoni umuhimu wa wewe baada ya harusi yao kuwaalika nyumbani kwako na kuwapa ushauri wa kuiweka ndoa yao kwenye magrudumu mapya kila siku?
kama ilivyo kwa maisha kuwa ni jinsi unavyoyapanga na kuwa na vision ya jinsi ambavyo ungependa yake na kuuweka mikakati ya kutekeleza ili kuyafanya maisha yako the way you want it- the same applies to ndoa. Hakuna formula maalumu kusema utawafundisha maarusi (even the so called kitchen parties huwa hazina mafundisho yanayofanana ingawa zote zinadhumuni moja) so there is nothing that I would be able to tell them (Mr& Mrs Geoff) ambavyo ni unique vitakavyofanya wao waishi maisha bora ya ndoa zaidi ya wao kuamua ni ndoa ya aina gani wangependa wawe nayo na wapange mikakati na kuwa determined kuhakikisha they eat their cake the way they wish it served.