measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
Nape mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM ila ninakerwa sana na utendaji wa serikali ya chama changu, kama kijana mwenzako nauliza, je mdahalo wa ITV KUHUSU DOWANS ulisikiza? Umejifunza nini kama kijana na kiongozi ndani ya chama kinachounda serikali? Slogany ya kujivua gamba imeishia wapi, mbona kimya?