Ndugu yangu Nape wewe kama Mtanzania unachukuliaje haya yafuatayo:
- Mabilioni yaliyofichwa uswisi na Watanzania
- Rushwa iliyokithiri na hasa serekalini na CCM (Mwenyekiti alikiri alipokuwa anafunga mkutano wa uchaguzi wa jumuiya ya wazazi )
- Kesi za ufisadi na Rushwa kuchukua muda mrefu wakati ushahidi uko wazi wazi
- Ukweli kuhusu Richmond kutokuwekwa wazi
- RPC Iringa kushuhudia mauaji ya David Mwangosi na hadi sasa bado yuko kazini
- Usalama wa taifa kuhusishwa na utekaji wa Dk Uli. Pia kwann hii issue haishughulikiwi kama ya Kamanda Barlow??
- Sababu zilizokufanya utake kuhamia CCJ
- Kwanini issue ya Majaji vihiyo inajibiwa kwa juu juu bila kuzungumzia mmoja baada ya mwingine. Mfano Jaji Mbarouk
- Je CCM imekuwa chama cha upinzani? (Ndg Wasira aliomba kura ili apigane nao na mkamshangilia kweli)
- Unafikiri vyama vya upinzani vinasaidia serikali iliyopo madarakani?