Swali kwa Mheshimiwa Membe kuhusiana na Sakata la Gesi Mtwara

Wana JF,

nimekua najiuliza mambo meeeengi sana moja wapo ni Mh Membe anatokea Lindi/Mtwara maana jimbo lake
linapkana na mikoa yote miwili Lindi na Mtwara.

Ndugu huyu amekua anajipitisha kwa wanachama wa chama chake ili wamchague kuwa mgombea kiti cha urais
uchaguzi ujao (mimi sina shida na hilo).

lakini pia ni mbuge mmojwapo mwenye influence kuubwa sana kwenye kanda ya kusini kama mmbunge na waziri pia.

sio hapo tu Mh. membe ni mjumbe wa Kamati kuu ya CCM
.

Kwa maana nyingine anauwezo wa kupata taarifa sahihi, kushawishi wadau husika (serikali na wananchi) na kuhakikisha suala la Gasi linakwisha bila umwagaji wa damu tulioanza kuushudia.

SWALI KWA MEMBE: Ni kwa nini unahisi unaweza kuwa Rais wa nchi hii kushughulikia mambo makubwa ya kitaifa na kimataifa kama umeshindwa suala la MTWARA?

Ni kitu gani kina kupa kigugumizi ama kinakufanya usiwe msuluhishi mkuu wa mgogoro huo?

UKISHINDWA KUJIBU MASWALI HAYA, NAAMINI HUFAI KUGOMBEA KITI CHA URAIS maana kama hili dogo huwezi
hayo makubwa hutaweza.

Membe ni mbunge wa Jimbo la Mtama-Lindi, Chikawe ni mbunge wa Nachingwea-Lindi. Issue ya gesi haiwahusu kwani huko sio majimbo/mkoa wao. Tuwatendee haki tuache siasa za maji taka kuelekea urais wa 2015.
 
Ajibu akose 10%?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mawaiba, nachelea kusema kwamba wewe si mkazi wa Mtwara. Yaani hata ujui Membe ni mbunge wa jimbo gani na wala gas inayosababisha vurugu inatoka wapi. Sasa kama hujui haya utatuaminisha vipi hayo ya Membe kuwekeza?

Membe hana kitega uchumi Mtwara, ni wapinzani wake tu wamekuwa wakihusisha vitega uchumi vya Shebi matelephone na ukaribu wake Membe na Shebi. Mzee wa mamvi alituma watu wake Mtwara kwenda kujaribu kumuhusisha Membe na hoteli ya Shebi mix na kuambulia patupu. Kama kuwekeza Membe angewekeza kwao Lindi kuliko gundulika gas nyingi mara tatu ya gas ya Mtwara. Tatizo la watanzania ni kuzani kila mwanasiasa ni mfanyabiasha wa aina ya mamvi na tujisent.

Kutaka Membe atoe tamko juu ya gas kwenye wizara ambayo hausiki na mkoa ambao hausiki ni jaribio jingine la kundi la mamvi kutafuta wimbo wa kutokea. Membe ndiye aliyeufanya moto wa gas usiingie Lindi baada ya kuongea na viongozi 300 wa Mkoa wa Lindi.

Na sisi JF wakati mwingine tunasikitisha; jana umeletwa uzi wa Membe kuchochea vurugu Mtwara leo tunamtaka aje atoe tamko.

Mkuu hoja yangu iko wazi sana. Kwanza mimi siomwana CCM kwa taarifa yako hivyo hakuna kundi lolote linalowakilishwa.

Mkuu ukienda chuo vyuo vikuu vyote nchini ili uwe Rais wa serikali za wanafunzi lazima uonyeshe unao uwezo wa kushawishi, kujenga hoja na kutetea maslahi ya unaowangoza. na historia ndio inayotumika yaani ulitetea nini au nani wapi n.k wenye historia nzuri wengi wamekuwa Rais ama viongozi wa juu na wameendelea kuwa viongozi bora hata baada ya kutoka chuo mifano unayo mingi sana.

Ukienda nchi za wenzetu wanatangaza nia mapema sana kuanzia miaka miwili kabla ya uchaguzi lengo ni kusema nipo clean, ninao uwezo na nimefanya issue moja mbili tatu nimefanikiwa na uwezo wa kuwa commander in Chief ninao anzia kwa Obama fuatilia records zake na ndio zilizompatia credit.

Tuje suala la Mtwara, kungekuwa ni Bomba la maji limepasuka wanaCCM wote including Membe wangekua Mtwara leo
hii wakiwapa pole na kutoa tamko haraka haraka bomba lijenge wananchi wasife kwa kukosa maji. Naamini membe angetoa hata magari yake kuwasaidia wananchi lakini kwa sababu wanannchi wanataka haki yao si Membe wala Kinana
wana Nape wameenda Mtwara wote wamekaa kimya.

Hata wanamtwara wanapodai haki yao hawakujua watapigwa mabumu na risasi hadi kufa, walijua serikali ya CCM ni sikivu na viongozi wake ni sikivu including membe (designated President) atawasikiliza na kuwatatulia kilio chao.

Swali: Kikwete alijisifu sana kuumaliza mgogoro wa Maziwa makuu akiwa kama waziri wa mambo ya nje (kwa wakati ule kweli ilikua issue) na tukaona kweli anaweza kwa kiasi fualni.

Kwa sasa hot issue ni Mtwara ambako ndiko unatoka wewe tuonyeshe diplomacia yako, uwezo binafsi na watu waliokuzunguka kuonyesha kweli wewe ni mtu mwenye uwezo na unastahili kukabidhiwa nchi 2015.
 
Kama Membe anahusika na huu mradi wa vurugu za Mtwara basi anafit kabisa kufikiriwa kuwa Mgombea Urais,

Ni kweli.....

Subiri vijana waliolishwa mishikaki ya monduli mwaka mpya waje hapa uone.

Guys,CCM haiwezi tena kuwa katika nafasi ya kuongoza
 
Hili la Mtwara litatumika kama tego kwa Membe maana kauli yake yoyote ni lazima amchukize Kikwete au Wananchi wa kusini na Membe hawezi kubeba hilo sasa.
 
Mkuu hoja yangu iko wazi sana. Kwanza mimi siomwana CCM kwa taarifa yako hivyo hakuna kundi lolote linalowakilishwa.

Mkuu ukienda chuo vyuo vikuu vyote nchini ili uwe Rais wa serikali za wanafunzi lazima uonyeshe unao uwezo wa kushawishi, kujenga hoja na kutetea maslahi ya unaowangoza. na historia ndio inayotumika yaani ulitetea nini au nani wapi n.k wenye historia nzuri wengi wamekuwa Rais ama viongozi wa juu na wameendelea kuwa viongozi bora hata baada ya kutoka chuo mifano unayo mingi sana.

Ukienda nchi za wenzetu wanatangaza nia mapema sana kuanzia miaka miwili kabla ya uchaguzi lengo ni kusema nipo clean, ninao uwezo na nimefanya issue moja mbili tatu nimefanikiwa na uwezo wa kuwa commander in Chief ninao anzia kwa Obama fuatilia records zake na ndio zilizompatia credit.

Tuje suala la Mtwara, kungekuwa ni Bomba la maji limepasuka wanaCCM wote including Membe wangekua Mtwara leo
hii wakiwapa pole na kutoa tamko haraka haraka bomba lijenge wananchi wasife kwa kukosa maji. Naamini membe angetoa hata magari yake kuwasaidia wananchi lakini kwa sababu wanannchi wanataka haki yao si Membe wala Kinana
wana Nape wameenda Mtwara wote wamekaa kimya.

Hata wanamtwara wanapodai haki yao hawakujua watapigwa mabumu na risasi hadi kufa, walijua serikali ya CCM ni sikivu na viongozi wake ni sikivu including membe (designated President) atawasikiliza na kuwatatulia kilio chao.

Swali: Kikwete alijisifu sana kuumaliza mgogoro wa Maziwa makuu akiwa kama waziri wa mambo ya nje (kwa wakati ule kweli ilikua issue) na tukaona kweli anaweza kwa kiasi fualni.

Kwa sasa hot issue ni Mtwara ambako ndiko unatoka wewe tuonyeshe diplomacia yako, uwezo binafsi na watu waliokuzunguka kuonyesha kweli wewe ni mtu mwenye uwezo na unastahili kukabidhiwa nchi 2015.

Nilitaka nikujibu post ndefu kabla ya kusoma haya yako ya mwisho. Membe atokei mkoa wa Mtwara na wala sio Mbunge huko Mtwara. Wizara husika na mgogoro haiko chini ya Membe na hivyo Membe hana mandate na kutoa tamko kwenye wizara isiyo yake. Kama Mbunge Membe alishaongea na watu wa mkoani kwake Lindi na akafanikiwa kuzuia watu wa Lindi wasiingie kwenye mgogoro wa gas.

Ulitakiwa umwombe Hawa Ghasia anayetoka Mtwara atoe tamko na tamko la Hawa ndio litakuwa tamko la Mzee wa mavi.
 
Hawa Ghasia has lost credibility,anatuhumiwa kwenye kashfa mbaya sana,tumejaribu kumuita hapa jamvini aje kujibu amegoma.
 
Mh.Benard Membe tunakutaka uje hapa jamvini ujibu haya,Kwanini unaona unaweza kuongoza Tanzania wakati huu mgogoro wa Mtwara umekaa kimya?Where are your skills in resolving conflicts?
Huu mgogoro ndio kipimo tosha kama kweli wewe unaweza kuwa fifth president of Tz

Kwa kipimo hiki EL nae nje ukiuwisha na mambo yalivyokuwa pale A-town!
 
Umeona mtu yeyote wa Mtwara/Lindi anajihusisha na mambo ya kusuluhisha mgogoro wa gesi?
Si Membe , si MKAPA, si Mathias Chikawe, wote kimya kabisa, kama vile hawapo!
Nina shaka hawa wameji'side na upande fulani!
upande wa wananchi?
 
Nilitaka nikujibu post ndefu kabla ya kusoma haya yako ya mwisho. Membe atokei mkoa wa Mtwara na wala sio Mbunge huko Mtwara. Wizara husika na mgogoro haiko chini ya Membe na hivyo Membe hana mandate na kutoa tamko kwenye wizara isiyo yake. Kama Mbunge Membe alishaongea na watu wa mkoani kwake Lindi na akafanikiwa kuzuia watu wa Lindi wasiingie kwenye mgogoro wa gas.

Ulitakiwa umwombe Hawa Ghasia anayetoka Mtwara atoe tamko na tamko la Hawa ndio litakuwa tamko la Mzee wa mavi.

kwa mwendo huu kweli unaweza kujiaminisha kuwa lindi ni salama? anyway bomba alijajengwa lindi!
 
Membe atasema nini wakati pesa ya kujenga kiwanda cha cement lindi iliyotolewa na wa libya kaila!
 
Masikini wala huna taarifa kwamba kiwanda kinajengwa Lindi na uzalishaji utaanza ndani ya miezi 9. Kubonyeza keyboard ni rahisi kuliko kufikiria hiko unachotaka kuandika...!!
 
.......MSIMAMO WA MEMBE NI WAZI NA WALA HAYUKO KIMYA, NAPENDA SANA STAILI ANAZOTUMIA HUYU JAMA....AKIONGEA MURJI (MB) WA MTWARA MJINI, NDIO MSIMAMO WA MEMBE.....LAKINI HII YOTE HAITOSHI KUFANYA SIO TU KUWA RAIS AJAYE BALI HATA SIFA ZA KUWA RAIS HAZIJAI KIGANJA (maoni yangu tu lakini)

Ni kweli hastahil katu aslan.
 
Wana JF,

nimekua najiuliza mambo meeeengi sana moja wapo ni Mh Membe anatokea Lindi/Mtwara maana jimbo lake
linapkana na mikoa yote miwili Lindi na Mtwara.

Ndugu huyu amekua anajipitisha kwa wanachama wa chama chake ili wamchague kuwa mgombea kiti cha urais
uchaguzi ujao (mimi sina shida na hilo).

lakini pia ni mbuge mmojwapo mwenye influence kuubwa sana kwenye kanda ya kusini kama mmbunge na waziri pia.

sio hapo tu Mh. membe ni mjumbe wa Kamati kuu ya CCM
.

Kwa maana nyingine anauwezo wa kupata taarifa sahihi, kushawishi wadau husika (serikali na wananchi) na kuhakikisha suala la Gasi linakwisha bila umwagaji wa damu tulioanza kuushudia.

SWALI KWA MEMBE: Ni kwa nini unahisi unaweza kuwa Rais wa nchi hii kushughulikia mambo makubwa ya kitaifa na kimataifa kama umeshindwa suala la MTWARA?

Ni kitu gani kina kupa kigugumizi ama kinakufanya usiwe msuluhishi mkuu wa mgogoro huo?

UKISHINDWA KUJIBU MASWALI HAYA, NAAMINI HUFAI KUGOMBEA KITI CHA URAIS maana kama hili dogo huwezi
hayo makubwa hutaweza.

Ijapokuwa swali la k.i.p.u.m.b.a.v.u hupewa jibu la k.i.p.u.m.b.a.v.u lakini naomba nikueleze hivi:

1. Suala la Mtwara si la usuluhishaji wa mgogoro maana kilichopo pale ni wananchi wachache kupotoshwa na wengine kwa maslahi mapana ya kisiasa huku ikifahamika kwamba hakuna namna ambayo gesi ile inaweza kuacha kusafirishwa. Kama korosho zinasafirishwa hadi India, sembuse gesi inayokwenda dar es salaam?

2. Toka huko nyuma baadhi ya wabunge wa Mtwara waliodhani kuwa possessive na suala la gesi ni jambo jema walisema watu wa lindi wazungumzie ufuta wao, hili la gesi haliwahusu. Walidiriki hata kuhoji kwa nini wanatumia uwanja wa ndege wa mtwara na kuacha ule wa lindi. Unategemea hapo yeye aingie kichwa kichwa?

3. Mheshimiwa Membe si mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na katika hili na kwa jinsi lilivyopotoshwa, kila mwana CCM ni adui machoni pa wale 'wazalendo' wa Mtwara.

4. Kama kipimo cha urais ni kutatua mgogoro wa Mtwara ambao kwa kiasi kikubwa ni wa kuchochewa na wasioitakia mema nchi hii, wako wapi hao wengine wanaodhaniwa kuwa na nguvu na uwezo kuliko Membe? Mbona wanafyata mkia nao ni watakatifu?

tuache kupotosha na kujidanganya. Rais hatapatikana kutokana na mgogoro wa Mtwara na wanaoweweseka na tetesi za urais wa Membe warudi kwenye drawing table, muda bado wanao!
 
Back
Top Bottom