Swali kwa Mhe. Rais: Umesema kila Mbunge wa jimbo afanyie mikutano kwenye jimbo lake je Bashiri Ally na Hamphery Polepole ni wabunge wa jimbo gani?

Hao niliowa bold siyo wanachama. ni Watendaji wa serikali.
MKURUDENZI SHARTI LA KWANA AWE MWANACHAMA NA LAIMA AWE ALISHAGOMBEA UBUNGE AKAKOSA, WEWE NI MPUMBAVU HUJUI KITU UNACHOONGEA UMEJITOA UFAHAMU KWA SABABU UKIWA CCM UFAHAMU HUWA UNA EXPIRE
 
una sbabu gani ya kuniita Mpumbavu?
 
MKURUDENZI SHARTI LA KWANA AWE MWANACHAMA NA LAIMA AWE ALISHAGOMBEA UBUNGE AKAKOSA, WEWE NI MPUMBAVU HUJUI KITU UNACHOONGEA UMEJITOA UFAHAMU KWA SABABU UKIWA CCM UFAHAMU HUWA UNA EXPIRE
Una uhakika kuwa kila Mkurugenzi alzima awe amegombea Ubunge na akaukosa?
 
Ni udikteta tu, hamna lolote. Sasa tukirudi nyuma mbona katiba haisemi hayo ya kuzuia mikutano ya hadhara hadi sijui siku ya uchaguzi.

Je, vyama visivyo na madiwani au wabunge wao watapataje wanachama wapya au watauzaje chama chao. Haya ndio miongoni mwa mambo yanayomfanya Magufuli asiende hata hapo Kenya tu kwa kuogopa maswali ya waandishi wa habari.
Alikiona cha moto alipoenda Uganda
 
KWA SABABU HUJA NIAMBIA SHERIA IPI INAZUIA MIKUTANO YA SIASA KWA VYAMA VYA UPINZANI NA KURUHUSU KWA CCM.

mimi nilichangia kuwa Watendaji kata na Wakurugenzi siyo wanasiasa, ni Watumishi wa serikali. wala sikuchangia habari ya Mikutano kukatazwa. sasa hapo una sababu ya kunifakamia na kunitukana? Ndo mefika mwisho wa Busara yako?
 
wanafanya chini ya ccm kwa maelekezo

Uchaguzi ukishaisaha, siyo Watumishi wa serikali na Chama tawala tu, hata Wapinzania katika maeneo yao wanatekeleza Ilani ya Chama Tawala. Ndivyo ilivyo demokrasia kote Duniani. sasa hilo la Mikutano kukatazwa msichanganye na utendaji mwingine wa kazi za kila siku za Maendeleo. Baada ya uchaguzi hakuna mradi wa maendeleo utatekelezwa nje wa Ilani ya Chama tawala maadam utatumia fedha umma.
 
UNAPOLALWA NA MME WAKO HUWA ANAKUWA AKITEKELEA ILANI YA CHAMA TAWALA!!!!!!????
 
Kwa akili hiyo milele hamtaweza kuingia ikulu ya nchi hii.Uwezo wako binafsi ni mdogo sana ndop maana unashindwa kujenga hoja badala yake unawatukana watu usiowajua. Take care. Nakuonya chukua tahadhari sana au funga bakuli lako.
 
SI UMESEMA WANANCHI WOTE WANATEKELEA ILANI? UMESHINDWA KUJENGA HOJA MAANA NILISKWAMBIA WEKA KIFUNGU CHA SHERIA KINACHOWARUSU NINYI KUFANYA MIKUTANO NA KUZUIA YA WENGINE ULISHINDWA. NYAMBAFU!
 
Mod Naomba Msiunganishe Thread hii inaumuhimu wake maana nimaswali yanayoulizwa

Ndugu wadau leo kuna swali ambalo tunategemea majibu kutoka kwa Mhe Rais

Tumeona katimu Mkuu wa chama cha mapinduzi akitembea kila mkoa kwenye mikutano ya ndani na hadharani pamoja na katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi Hephrey Polepole lakini hakuna anayesema, kuwagusa wala kuwakemea. Watu wote na viongozi wote wapo kimya kama hakuna kinachoendelea.

Kwenye upande wa pili wa chama cha Upinzani Tanzania Chadema Katibu wake Mkuu Vicent Mashinji akiwa kwenye vikao vya ndani vya chama chake tumeona anavyokamatwa na polisi na kuzuiwa pamoja na viongozi wengine wa Chama hicho kikubwa hapa nchini

Swali

1)Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mwenezi wa ccm Polepole wao niwabunge wa Jimbo gani na Chama Gani? je Tunamuongopea Mungu au Binadamu? Je Tundu Antipas Mugwai Lissu akiambia Dunia kuwa hakuna Demokrasia Tanzania anakosa gani? Je umeshangamua kuwa Dunia sasa hivi nikijiji kila ukifanyacho kinaonekana nisawa na kila Ukipandacho ndio utakachovuna?

2) Mkuu wa wilaya, Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi, watendaji wa kata na watarafa hao wote niwanachama na viongozi wa ccm bahadhi je hawatoshi huko majimboni mpaka hao wawili polepole na Bashiru wazunguke je hizi si fujo kwenye majimbo yawapinzani?

Mfano uliyo hai: Tukumbuke Mbunge wa Jimbo hili ni Godbless J. Lema je hizi si fujo jimboni kwa Lema ambapo ccm wanaleta?

Ndugu Denis Zakariah Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akisikiliza kero za wafanyabiashara wa soko la kilombero leo .Hapa kazi tu.
View attachment 1003365
Mkuu jiwe hata haelewi anachosema, nafikiri tuambiane ukweli, jiwe ana matatizo ya akili, akili zake hazifanyi kazi kaa binadamu wa kawaida aone daktari wa akili haraka iwesekanavyo,akikosa hilo, hii ugojwa unaweza pelekea yeye madhara kubwa sana
 
Mod Naomba Msiunganishe Thread hii inaumuhimu wake maana nimaswali yanayoulizwa

Ndugu wadau leo kuna swali ambalo tunategemea majibu kutoka kwa Mhe Rais

Tumeona katimu Mkuu wa chama cha mapinduzi akitembea kila mkoa kwenye mikutano ya ndani na hadharani pamoja na katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi Hephrey Polepole lakini hakuna anayesema, kuwagusa wala kuwakemea. Watu wote na viongozi wote wapo kimya kama hakuna kinachoendelea.

Kwenye upande wa pili wa chama cha Upinzani Tanzania Chadema Katibu wake Mkuu Vicent Mashinji akiwa kwenye vikao vya ndani vya chama chake tumeona anavyokamatwa na polisi na kuzuiwa pamoja na viongozi wengine wa Chama hicho kikubwa hapa nchini

Swali

1)Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mwenezi wa ccm Polepole wao niwabunge wa Jimbo gani na Chama Gani? je Tunamuongopea Mungu au Binadamu? Je Tundu Antipas Mugwai Lissu akiambia Dunia kuwa hakuna Demokrasia Tanzania anakosa gani? Je umeshangamua kuwa Dunia sasa hivi nikijiji kila ukifanyacho kinaonekana nisawa na kila Ukipandacho ndio utakachovuna?

2) Mkuu wa wilaya, Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi, watendaji wa kata na watarafa hao wote niwanachama na viongozi wa ccm bahadhi je hawatoshi huko majimboni mpaka hao wawili polepole na Bashiru wazunguke je hizi si fujo kwenye majimbo yawapinzani?

Mfano uliyo hai: Tukumbuke Mbunge wa Jimbo hili ni Godbless J. Lema je hizi si fujo jimboni kwa Lema ambapo ccm wanaleta?

Ndugu Denis Zakariah Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha akisikiliza kero za wafanyabiashara wa soko la kilombero leo .Hapa kazi tu.
View attachment 1003365
Magroup ya whasap ya ccm kila siku iendayo kwa mungu wanatupia picha zao wakiwa kwenye Ziara zao za ndani na nje mifano IPO
 
Back
Top Bottom