Swali kwa Mh.Zitto Kabwe na ushauri kwa Bashe

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
637
Ukiwa PAC ulituhumiwa kupokea rushwa, zaidi ya mara moja, na haukujiuzulu... tuamini kuwa ni kweli hii kamati ulikuwa huitaki?
Mwambie na Ndg. Bashe kuwa CCM inashutumiwa kula na kutoa rushwa, ajiuzulu uanachama wake pia.
Inasemekana hiyo kamati ya huduma ya jamii haina ulaji watu wanatafuta sababu ya kutoka.
 
Omary badwel mbunge wa bahi-Dodoma alikuwa mjumbe wa kamati ya PAC aliyokuwa akiiongoza zitto zuberi kabwe, alikamatwa kwa rushwa (sio kutuhumiwa) zitto hakujiuzulu, leo anahiuzulu kwa harufu ya rushwa???

kiki on work....
 
Mtoa mada bila shaka wewe ni jibu bichi,unastahili kutumbuliwa mapema.maana utakapoiva usaha wako lazima utoke na funza.
 
Mtoa mada bila shaka wewe ni jibu bichi,unastahili kutumbuliwa mapema.maana utakapoiva usaha wako lazima utoke na funza.
Inabidi tuanze shule ya kiswahili kwanza,tofautisha ba be bi bo bu na pa pe pi po pu. Halafu ndio uje kutumbua mzee.
 
Inabidi tuanze shule ya kiswahili kwanza,tofautisha ba be bi bo bu na pa pe pi po pu. Halafu ndio uje kutumbua mzee.
Hiyo ni typing error lkn nashukuru kuwa umeshaelewa kuwa nilimaanisha ww ni jipu ,maana katika hali ya kawaida huwezi kutoa mada ya kisengelema kama uliyoitoa.
 
Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri mkuu kwenye sakala la RICHMOND alionekana mhusika, leo Zitto Kabwe anaonekana shujaa. Tuacheni unafiki
 
Omary badwel mbunge wa bahi-Dodoma alikuwa mjumbe wa kamati ya PAC aliyokuwa akiiongoza zitto zuberi kabwe, alikamatwa kwa rushwa (sio kutuhumiwa) zitto hakujiuzulu, leo anahiuzulu kwa harufu ya rushwa???

kiki on work....
Naomba nikusahihishe Omary Badweli alikuwa mjumbe Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakati akikutwa na tuhuma za rushwa hakuwa mjumbe wa PAC
 
Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri mkuu kwenye sakala la RICHMOND alionekana mhusika, leo Zitto Kabwe anaonekana shujaa. Tuacheni unafiki
 
Back
Top Bottom