Swali kwa mara ya mwisho, Wataalamu wa mining, kwanini Serikali isinunue Acacia?

Nimeona Serikali yetu imepokea Mabilioni ya Fedha ktk kwa Mashirika yetu (hongera kwetu), sasa kwa nini Serikali yetu isinunue mmoja wa Migodi ya Acacia kama vile Buzwagi na kufanya production yenyewe, nina uhakika chini ya usimamizi wa Raisi wetu Magufuli na Waziri Mkuu wetu Majaliwa tutaweza kuuendesha Mgodi wenyewe, kwani mara ya mwisho nilisoma kwamba thamani ya Buzwagi ni kama milioni 300 USD, hii ni kama sawa tu gawio la ktk kwa mashirika yetu kama sijakosea, ...
Msiwe mnasahau enyi Mabashite...mwaka jana Jiwe alieleza kuwa Acacia ni kampuni "feki"....sasa atanunuaje kampuni "feki"....isiyokuepo yan...hayo mazungumzo ya kuinunua atayafanya na nani maana ni feki!
 
Nimeona Serikali yetu imepokea Mabilioni ya Fedha ktk kwa Mashirika yetu (hongera kwetu), sasa kwa nini Serikali yetu isinunue mmoja wa Migodi ya Acacia kama vile Buzwagi na kufanya production yenyewe, nina uhakika chini ya usimamizi wa Raisi wetu Magufuli na Waziri Mkuu wetu Majaliwa tutaweza kuuendesha Mgodi wenyewe, kwani mara ya mwisho nilisoma kwamba thamani ya Buzwagi ni kama milioni 300 USD, hii ni kama sawa tu gawio la ktk kwa mashirika yetu kama sijakosea, ...

Tayari inamiliki TULAWAKA vipi hali ikoje huko?
 
Kijana serikali yetu inamiliki mgodi wa Tulawaka kwa asilimia zote.....sasa hivi wapo chaliiiii juu ya mawe

Uzalishaji chengaaaaaa

Wafanyakazi hawajalipwa mishahara miezi mitano.... production hakunaaaaa

Na soon mgodi wataufunga kwa kushindwa kuendesha....japo haitakuwa surprise kwa kuufunga mgodi baada ya kushindwa kuuendesha...Meremeta ulishatu knock out kitambo saaaana!!!

Kuendesha mgodi sio makalio kwamba kila mtu anayo....

Acha mabilioni yaendelee kujenga madaraja
 
Kwa nini maoni yako kwa mfano acacia wakaamua kuuza mgodi na kusepa na kuja mwingine na yeye labda kufanya hivyo hivyo kupiga hela, uza na sepa?
 
Swali lako sijaliewa mkuu...ebu tuliza munkari halafu uliza vizuri

Nimeuliza nini maoni yako kwa mfano acacia wakiamua kuuza mgodi wao kwa wengine na kuondoka labda kwa bei ambayo iko ndani ya uwezo wetu kuununua?
 
Kwa mfano kama acacia wakiamua kuuza leo hii Mgodi yao labda Buzwagi sisi tutafanya nini? Je, tuna uwezo wa kuwazuia?
Ndio,maana tunawadai!Tunataifisha kabla hawajauza!Halafu kwanini tunachelewa?Tufungue na kesi mahakamani ili tuzuie Mali za Acasia kokote duniani
 
Napenda kuuliza mgodi tuliopewa bure wa Tulawaka bado upo kama haupo je mashimo yamefukiwa? Mgodi wa Buhemba uliingiza Tsh ngapi mpaka unafungwa? sio kwamba hatuwezi kununua bali tatizo ni uendeshaji kwani uswahili umetujaa sana , tuna wataalamu wengi sana mpaka wengine wanaloea nje kwani hapa wamekimbia brabra zetu
 
Nimeona Serikali yetu imepokea Mabilioni ya Fedha ktk kwa Mashirika yetu (hongera kwetu), sasa kwa nini Serikali yetu isinunue mmoja wa Migodi ya Acacia kama vile Buzwagi na kufanya production yenyewe, nina uhakika chini ya usimamizi wa Raisi wetu Magufuli na Waziri Mkuu wetu Majaliwa tutaweza kuuendesha Mgodi wenyewe, kwani mara ya mwisho nilisoma kwamba thamani ya Buzwagi ni kama milioni 300 USD, hii ni kama sawa tu gawio la ktk kwa mashirika yetu kama sijakosea, ...

Dah...kwa hiyo ukitaka kununua chochote na kama unazo fedha unadhani hilo linawezekana???!!! Labda niiweke hii hivi yeyote akitaka kununua nyumba yako (kama unayo) utakuwa tayari??
 
Nimeuliza nini maoni yako kwa mfano acacia wakiamua kuuza mgodi wao kwa wengine na kuondoka labda kwa bei ambayo iko ndani ya uwezo wetu kuununua?

Kununua ni kitu kingine na kuuendesha ni kitu kingine tofauti kabisaaa....ni kama gari tuu

unaweza ukawa na hela ya kununua prado na ukalinunua lakini baada ya muda ukashindwa kabisa kulifanya prado lako liwe linatembea kila siku barabarani kutokana na gharama labda za mafuta.....nadhani utakuwa umenielewa
 
Kama nimeamua kuuza basi nitauza, ndo maana nikauliza kama acacia wakiamua kuuza Mgodi wao labda Buzwagi kwa mtu mwingine labda Muhindi ktk India, kwa nini sisi tusiununue kama hiyo hela tunayo?
 
As of 2016, Acacia had a market capitalization of 2.23 billion pounds (US$2.93 billion), making Barrick’s stake worth aboutUS $1.9 billion. Sawa na Trilioni 7.3 sawa na robo ya budget yetu ya nchi. Hii pesa hatuna labda tukope. Lakini serikali ina migodi kama Stamigold na inashare nyingi kwenye migodi wa almasi wa Mwadui, lakini utendaji kazi wa hiyo migodi hauna tija yyt ya maana katika kujachingia pato la serikali.
 
Kwa hiyo nini maoni yako hasa kwa lugha rahisi kama wakiamua kumuuzia mtu mwingine kwa bei ambayo labda tungeweza kuimudu, kwamba ni bora tu tuache uende?
 
Kama nimeamua kuuza basi nitauza, ndo maana nikauliza kama acacia wakiamua kuuza Mgodi wao labda Buzwagi kwa mtu mwingine labda Muhindi ktk India, kwa nini sisi tusiununue kama hiyo hela tunayo?

Mimi sijaliona hilo neno 'wakiamua' kwenye hoja yako ya awali
 
Nimeuliza nini maoni yako kwa mfano acacia wakiamua kuuza mgodi wao kwa wengine na kuondoka labda kwa bei ambayo iko ndani ya uwezo wetu kuununua?
Kununua mgodi na kuendesha mgodi ni vitu viwili tofauti kabisa. Havifanani hata kidogo. Kukuelewesha vizuri nitatoa mfano huu: Mfano unaofanana na wazo lako ni kama vile unataka bodi ya Shirika la Afya Muhimbili iwaondoe wafanyakazi wake wooote (eg madaktari, manesi, watu wa maabara, wafasia nk) halafu ichukue watu mtaani wakazibe zile nafasi!
 
As of 2016, Acacia had a market capitalization of 2.23 billion pounds (US$2.93 billion), making Barrick’s stake worth aboutUS $1.9 billion. Sawa na Trilioni 7.3 sawa na robo ya budget yetu ya nchi. Hii pesa hatuna labda tukope. Lakini serikali ina migodi kama Stamigold na inashare nyingi kwenye migodi wa almasi wa Mwadui, lakini utendaji kazi wa hiyo migodi hauna tija yyt ya maana katika kujachingia pato la serikali.

Lkn hiyo ni acacia yote hapa nimeongelea moja ya mali zao hapa TZ kama vile Mgodi wa Buzwagi pekee, wanaweza kuamua kuuza kwa mtu mwingine na sidhani kama Mgodi wa Buzwagi utakuwa Billions USD!
 
Alipewa PAC alifanya nini zaidi ya kuiba hela zetu, kujitajirisha na kuanzisha act? Au unafikiri Zito Kabwe angekuwa an access na fedha yote hii angewekeza chochote zaidi ya kuiba?

Isitoshe pamoja na kununua Ndege, SGR kujengwa Hospitali nchi nzima lkn bado fedha ndefu inaingia Serikalini kama hii ya gawio, hivyo hiyo siyo sababu!
Mwizi ufunguliwa mashitaka. Umemkosa vipi?
 
Back
Top Bottom