Swali kwa JK atueleze kuhusu mahakama ya KADHI na OIC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa JK atueleze kuhusu mahakama ya KADHI na OIC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bado Niponipo, Oct 28, 2010.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kesho anakutana na waandishi wa habari swali langu ni hili:-

  Ilani ya uchaguzi ya Mwaka 2005 alisema once akichaguliwa kuwa rais ataingiza mahakama ya KADHI na kujiunga na OIC, miaka mitano imepita bila chochote, je nini msimamo wake juu ya hili na kwa nini Ilani ya mwaka huu haizungumzii kabisa maswala ya mahakama ya KADHI na OIC?
   
Loading...