APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Je ni uzembe wa khali ya juu kwa mbunge ambaye anatetea nafasi ya ubunge wake kushindwa kwenye kula za maoni ndani ya Chama?
Swali lako halijaeleweka tulia uandike vizuriJe ni uzembe wa khali ya juu kwa mbunge ambaye anatetea nafasi ya ubunge wake kushindwa kwenye kula za maoni ndani ya Chama?
Swali linaeleweka sana Mkuu but liko too philosophically.Swali lako halijaeleweka tulia uandike vizuri
Sawa Mkuu Erythrocyte lkn hujajibu swali?Madarakabni dhamana ya muda mfupi sana .
Mkuu sana please weka majibu yako hapa but the question is too philosophicalDuh...!.
Subiri waje!.
P
Sijaelewa maelezo yako mkuuNdiyo, kwenye kula za maoni ni uzembe lakini kwenye kura za maoni sio uzembe hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ujibu swali languKugombea mjomba ni jambo moja laki kushinda nalo ni jambo jingine
Kushindea kwenye kura ya maoni si uzembe.Je ni uzembe wa khali ya juu kwa mbunge ambaye anatetea nafasi ya ubunge wake kushindwa kwenye kula za maoni ndani ya Chama?