akashube
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 401
- 23
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.
Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.
Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.
Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,
Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
VFL - Value for life.