Swali: Kutoka katika ukoo wa kichief kuna tija gani kwa taifa la letu la sasa ?

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
Kumekuwa na tambo nyingi kwa watu waliotoka ktk koo za kichief wakijiona kama bado wananguvu, wengine hutumia kama cv. Je kuna nguvu gani ya uwezo tofauti kwa watu hawa, wamelifanyi taifa nn kwa siku za karibuni? Kuna haja ya kuwatukuza kama zamani
 
umekurupuka. haujafanya research ya kutosha kwenye mada uliyotoa. fanya research kwanza ndio uje kutoa povu hapa.
 
Back
Top Bottom