Elections 2010 Swali : KUNA HAJA GANI YA KUWA NA WABUNGE WA KUTEULIWA?

Bob_Dash

Member
Nov 1, 2010
90
13
Kama kweli uongozi wa nchi unatakiwa kutokana na matakwa na mapendekezo ya wananchi , basi kuna haja gani ya kuwa na lundo la WABUNGE WA KUTEULIWA? isitoshe baadhi ya hao miongoni mwao wanakuja kuteuliwa kuwa MAWAZIRI wakati wananchi hawakuwachagua ama kuwakubali in first place. WHAT'S THE POINT OF THAT??? Mwenye jibu tafadhari
 
hata mimi naona hii haifai; nanusa mafisa papa kurudi mjengoni tena kwa jeuri
 
its a tool the politicians are using to make sure that their Big shot who will lose have a new lease of life in parliament hata bila ridhaa ya wananchi but kwa rithaa ya the few with personal interests.

I think in the new constitution hii iwe abolished.
People should justify their way in to the parliament na si kuipata tu on a silver spoon....
Shame on the Afican politics.
THE TIME FOR CHANGE HAS COME......
 
Back
Top Bottom