Swali: Kukubalika kwa Lema Arusha ni nguvu yake binafsi au nguvu ya chama?

...Mrimi,kwanza nigependa kukusabai,pili nimependa na nimevutiwa sana na jinsi unavyo jenga hoja hasa pale ulipo-jaribu waelewesha hao waliotaka kupotosha hii mada.Sasa niende kwenye hoja ya msingi,Lema ni moja ya mashujaa ambao hatujawaona kwa kipindi kirefu ktk nchi hii.Nimemwita Lema shujaa si kwabahati mbaya kwani tangu achaguliwe kuwa mbunge wa Arusha amekuwa mtu aliyejitoa kuwapigania watu wake.Amekwenda gerezani aliyoyakuta huko yalimgusa kama kingozi na juhudi juhudi zake za kutaka kuwasaidi ndugu zetu tumeziona.Lema amekuwa akisimamia bila kuteteleka kwa kile anachoamini kitawasaidia watu wake na hii ndo sifa ya pekee ya kiongozi anayeitwa shujaa.Wana-Arusha/watanzania tuko katika harakati za kuikomboa hii nchi kutoka kwenye makucha ya hawa wakoloni weusi(CCM)..."kila harakati za mapinduzi hutengeneza mashujaa(akina Lema) na wasaliti"...
 
Tuko pamoja mkuu.
Binafsi mimi ni muumini mzuri wa mambo yote yanayohusu nguvu ya hoja.
Huwa sipendi watu wanaopenda jazba zisizo na mantiki.
 
Back
Top Bottom