Habari za usiku mabibi na mabwana wa JF.
Kuna jambo ambalo ningependa kujua kutoka kwa yoyote mwenye ufahamu nalo. Kuhusu Uraia wa Tanzania, nimesoma Citizenship act ya Tanzania kuwa inatambua uraia wa aina tatu: Wa kuzaliwa (citizenship by birth), citizenship by descent na by registration/naturalization.
Hii citizenship by descent ipo vipi?
Tuchukulie mfano: Baba na Mama ni watanzania, walisafiri kwenda nchi nyingine (mf Australia, UK) halafu wakapata mtoto wakiwa huko.
Then wakarudi Tanzania mtoto akiwa na miezi 6 na akaishi Tanzania maisha yake yaliyobaki.
Je huyo mtoto anahitaji special arrangements ili awe considered raia wa Tanzania au act inamtambua kama raia moja kwa moja?
Je arrangements gani zinahitajika (kama zipo) kufanyika pale afikapo miaka 18?
Sent using .... who cares anyway