Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira.

Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?

Asanteni kwa mtakaonijibu...
 
Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
 
Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira

Inapotokea kweye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?

Asanteni kwa mtakaonijibu
Chukua pesa hio kunywa bia ...

Maisha mafupi Sana
 
Wakulima na wafanyakazi WA nchi hii wanateseka Sana...
Huku Kwenye kilimo tuna majanga mengi Kama kusubiri pesa ya stakabadhi ghalani
 
kwaio hela ilivoingia ndo ukapiga chini uzi hata hukurudi kutupa mrejesho wala shukrani kijana? 🤣🤣🤣
 
Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
...kama siku ngapi?
 
Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira

Inapotokea kweye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?

Asanteni kwa mtakaonijibu
Vipi na mm wameniandkia ivy vipi ww ulikaa muda gan wakukuingizia ela zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom