swali kuhusu mosqito repellent

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Wadau kuna hizi sofware za kufukuza mbu ambazo zinapatikana kwenye platforms tofauti kama android n.k.

Swali langu ni kama zinafanya kazi kweli au magumashi, nimedownload moja lakini sioni kama iko effective, ninaitaka sana hii kwa ajili ya kuepukana na karaha za mbu.

Kama kuna mdau anaweza kuniambia jinsi ya kuipata kwa android nitafurahi. Kama kweli zinafanya kazi.

Asanteni
 
Niliambiwa hiyo hadithi, kwa kutumia iPad lakini sikuona hata kama ina lolote. Sikuamini kwa kuanzia.
 
wanasema inatoa sijui noise fulani hivi ambayo mbu wanaisikia wanaondoka...
 
Niliambiwa hiyo hadithi, kwa kutumia iPad lakini sikuona hata kama ina lolote. Sikuamini kwa kuanzia.

I wish zingefanya kazi maana mbu ni balaa, kuna mbu fulani weusi wanamg'ata mchana ni wanawasha hakuna mfano. Na halufu za dawa hasa za kuchoma sipendi kabisa
 
sidhani kama imefanyiwa majaribio ya kutosha africa maana mbu hawa walivyo wabishi hata hizo net zenye dawa wanatua bila matatizo
 
wanasema inatoa sijui noise fulani hivi ambayo mbu wanaisikia wanaondoka...

Wanasema inatoa sauti ambayp mbu hawaipendi. Ni sauti ambayo binadamu hawezi kuisikia kwa sababu iko kwenye frequency ya juu sana ambayo masikio ya binadamu hayawezi kuisoma.
 
sidhani kama imefanyiwa majaribio ya kutosha africa maana mbu hawa walivyo wabishi hata hizo net zenye dawa wanatua bila matatizo

Ha ha ha afrika kweli noma kila kitu sugu kuanzia malaria mpaka mbu wenyewe.
 
hamna kweli wow]ote. Note while the concept is correct the hardware just ain't up for the job. Kuna gadgets za ku plug on your socket na zinagenerate a high frequency sound na magnetic field which disturbs insects na hizo ndo zinazo work, ila sim haina hardware hizo, like speaker za cm haziwezi create such frequencies so software hizo hazina lolote(unless device imeekewa proper hardware)
 
hamna kweli wow]ote. Note while the concept is correct the hardware just ain't up for the job. Kuna gadgets za ku plug on your socket na zinagenerate a high frequency sound na magnetic field which disturbs insects na hizo ndo zinazo work, ila sim haina hardware hizo, like speaker za cm haziwezi create such frequencies so software hizo hazina lolote(unless device imeekewa proper hardware)[/b


Thanks Good Guy, je, hizo device zinapatikana bongo?
 
Last edited by a moderator:
Ile software inatoa sauti ya ultra sound inayofanana na male anopheles, ambayo ni ya kibabe na inauzi sana kwa jamii nyingine ya mbu mfano female anopheles mosquitoes. Hivyo wakiisikia hukimbia katika maeneo hayo wakizani male anopheles ameingia. Sina uhakika kama nimefafanua vyema
 
Back
Top Bottom