Swali kuhusu moneygram

Kim McDamon

Member
Feb 23, 2019
46
9
nilikuwa nauliza kupokea pesa kutoka Qatar kupitia moneygram ni mpka uwe na kitambulisho cha utaifa au hata cha kupiga kura kinatumika? Na je usalama wake upoje wana jopo
Mwenye kujua anisaidie hapo
Natanguliza shukrani
 
Mara ya mwisho nakumbuka mwaka jana nilienda kuchukua na kitambulisho cha kura nikapata pesa zangu so sijui utaratibu kama hadi leo upo
 
Asante mkuu na je ni njia salaama kabisa au huwa kunausumbufu Fulani ?
 
nilikuwa nauliza kupokea pesa kutoka Qatar kupitia moneygram ni mpka uwe na kitambulisho cha utaifa au hata cha kupiga kura kinatumika? Na je usalama wake upoje wana jopo
Mwenye kujua anisaidie hapo
Natanguliza shukrani
Kitambulisho ni CHOCHOTE cha serikali, kwa maana ya kwamba Cha Kupigia Kura, Cha Taifa au Passport, hakuna usumbufu mkubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom