Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nafahamu kwamba Raisi wa JMTZ ana uwezo wa kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz muda wowote, sasa swali langu kwa wanaofahamu ni Je, kama Raisi akifanya hivyo ina maana na yeye Uraisi wake unakoma moja kwa moja mpaka Uchaguzi mwingine au ni Wabunge tu ndiyo wanaotakiwa kurudia chaguzi?