Swali kuhusu kodi(tax) na sheria kulingana na kuanzisha online shopping website biashara

TenHag Ball22

Member
Jul 2, 2011
39
3
Habari Zenu. Nina swali kuhusu biashara. Mfano mtu upo nchi kama China au India n.k alafu unataka uanze kabiashara kadogo cha kuuza vitu kama viatu huku Tanzania kwamba unanunua viatu huko china alafu unasafirisha via express company kama dhl au via ema n.k Njia yako ya kupromote hivi viatu ni online store website. Kwamba mtu anaingia online anaorder analetewa anapokea basi. Je hii ni biashara ya kwenda TRA kufata procedures za kuchukua TIN number.... au kila kitu kinakua kishaisha na shipping agency kwa kulipa shipping fee na import tax??? Dhumuni langu ni kujua kama kuna sheria zozote inabidi zifatwe kabla ya kuanzisha biashara kama hiyo kupitia onlin store?
 
Though Tanzanian tax laws bado hazija-accomodate e-businesses...lakin kama bidhaa zitakuwa delivered kwenye land ya Tanzania...lazima zitakuw subjected to tax kama import duty,excise duty na VAT...
Pia as long as ur doing business ...no way lazima usajili biashara yako na hapo ndo utakutana na masuala ya TIN na procedure zingine za kulipa Income tax
 
Back
Top Bottom