Swali kuhusu kodi(tax) na sheria kulingana na kuanzisha online shopping website biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kuhusu kodi(tax) na sheria kulingana na kuanzisha online shopping website biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Deo3578, Jul 13, 2017.

 1. D

  Deo3578 Member

  #1
  Jul 13, 2017
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari Zenu. Nina swali kuhusu biashara. Mfano mtu upo nchi kama China au India n.k alafu unataka uanze kabiashara kadogo cha kuuza vitu kama viatu huku Tanzania kwamba unanunua viatu huko china alafu unasafirisha via express company kama dhl au via ema n.k Njia yako ya kupromote hivi viatu ni online store website. Kwamba mtu anaingia online anaorder analetewa anapokea basi. Je hii ni biashara ya kwenda TRA kufata procedures za kuchukua TIN number.... au kila kitu kinakua kishaisha na shipping agency kwa kulipa shipping fee na import tax??? Dhumuni langu ni kujua kama kuna sheria zozote inabidi zifatwe kabla ya kuanzisha biashara kama hiyo kupitia onlin store?
   
 2. dreams and visions

  dreams and visions Member

  #2
  Jul 14, 2017
  Joined: Jul 8, 2017
  Messages: 56
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Though Tanzanian tax laws bado hazija-accomodate e-businesses...lakin kama bidhaa zitakuwa delivered kwenye land ya Tanzania...lazima zitakuw subjected to tax kama import duty,excise duty na VAT...
  Pia as long as ur doing business ...no way lazima usajili biashara yako na hapo ndo utakutana na masuala ya TIN na procedure zingine za kulipa Income tax
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...