Swali kuhusu Katiba

Nyerere pekee kipindi kile chama kimeshika hatamu ndio mpaka leo wadanganyika hawawezi kufikiri mawazo yao yamefungwa na mfu nyerere.
 
Mimi nadhani waliitwa tu baadhi ya wataalam wa sheria wakaketishwa ofisi ya mkuu wa kaya wa kipindi hicho na kuamuriwa waandike kitu kinaitwa katiba. Ni maoni yangu tu, sijui zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom