Swali;kesi ya mkenya aliyejisalimisha kanisani kuwa alimtesa dr. Ulimboka imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali;kesi ya mkenya aliyejisalimisha kanisani kuwa alimtesa dr. Ulimboka imeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kimagege, Oct 31, 2012.

 1. Kimagege

  Kimagege JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wanajamvi naomba anayefahamu mwenendo wa kesi ya yule mkenya joshua gitui aliyejisalimisha kanisani akikiri mwenyewe kumteka na kumtesa dr ulimboka atujuze tafadhali.
   
 2. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kova tafadhali mjibu kimagege. Swali hili linakuhusu.
   
 3. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,971
  Likes Received: 1,390
  Trophy Points: 280
  Nasikia huyo mtuhumiwa alishaachiwa siku nyingi,so hapo hakuna kesi tena inayoendelea!
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sugu alimwambia Kova aka edit movie yake, nadhani bado ana edit
   
 5. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Si ilisemekana yule alikuwa mgobjwa wa akili mkuu?..Uliona wapi mtesaji, akajisalimisha mwenyewe tena kipindi ambacho anajua anayafutwa mkuu?
  i think ilikuwa "danganya toto"..na since toto(watanzania) ashadanganyika kwa kusahau, mambo yanakwenda!
   
 6. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Subiri namuuliza kova nakujibu sasa ivi.... Kova.kova.kova, ova.' nakupata kamanda endelea... Kuna mtu anaulizia ile muvi ya m. K imeishia wapi..? Ova. Subiri kamanda nimuulize mkuu anipe majibu ya kukupa ova,... Haya nazani umemsikia sasa subiri kama wafuasi wa kibwetere na usipoangalia utakufa ukisubiri. Note. Hizi muvi za viwango hivi zinapatikana tanzania tu, again only in tz.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,298
  Likes Received: 2,959
  Trophy Points: 280
  Kaole sanaa group.
   
 8. D

  Diga Diga Senior Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hili kundi asili yake wapi? Sio kule kule kwa Msanii J.K? Kwahiyo na hii issue imepotea kiaina kama Muhogomchungu alivyopotea kwenye sanaa za maigizo? Dah! Bagamoyo ni wabaya????????!!!!!!!!!!!!
   
 9. D

  Diga Diga Senior Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Perferct! Kuna kitu hawa watatu (JK, Mwema na Kova) wana-share ambacho mwenye kesi (Dr. Uli) hana! Ukikigundua ndio utajua sababu za hii movie kuanza kufifia wakati trailer yake ilikuwa inavutia! Kwakweli Watz ni mojawapo ya maajabu nane ya Dunia!
   
Loading...