Swali juu ya upatikanaji wa cheti cha form four baada ya result sleep kutoka

mwasamasole

Senior Member
Oct 25, 2015
106
119
Je kuna ukweli kua mtu akienda Baraza la mitihani la Taifa kuomba cheti chake baada ya kupata result sleep anaweza kupewa? Kabla havijafika katika shule aliyofanyia mitihani? Naomba majibu kwa wanao fahamu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkandarasai hajakamilisha uchapaji.


vyeti utachukulia kwenye kituo ulichofanyia except kwa watu wasiojulikana
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom