Swali: Je Sheria iliyopitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais, inaweza kusitishwa kutumika kwa tamko?

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
923
1,272
Wataalam wa sheria mtusaidie. Hivi sheria iliyopitishwa na Bunge tukufu na kusainiwa na Rais inaweza kusimamishwa kutumika kwa tamko la mtu mmoja? Kaamuka tokea huko alikotoka magogoni na kusema isitumike hadi 2023 .Tujielekeze kujibu swali.
Cc. Mselewa, and others
 
Mbwiga kilichozuiwa ni kanuni siyo sheria!
 
Sheria inaposema Waziri husika ataandaa kanuni za kuitekeleza, then the moment waziri akiandaa kanuni hizo na kuzipublish kwenye gazzete, zinakuwa na sehemu ya sheria yenyewe.

Na kama waziri atataka kubadili tena kanuni, basi naamini, utaratibu lazima ufuatwe.
 
Kanuni ipo kisheria kenge
Unaelekezwa lakini hutaki kuelewa. Kanuni inapitishwa na Waziri tu hivyo siyo sheria ya Bunge yaani kwa kizungu Act. Sheria ya bunge inafutwa kwa kupeleka Muswada Bungeni ili kuifuta sheria husika.
 
Sheria inaposema Waziri husika ataandaa kanuni za kuitekeleza, then the moment waziri akiandaa kanuni hizo na kuzipublish kwenye gazzete, zinakuwa na sehemu ya sheria yenyewe.

Na kama waziri atataka kubadili tena kanuni, basi naamini, utaratibu lazima ufuatwe.
Waziri anaweza kufuta Kanuni wakati wowote kwa kuwashirikisha wadau lakini si lazima kuwashirikisha wadau wote.
 
Wataalam wa sheria mtusaidie. Hivi sheria iliyopitishwa na Bunge tukufu na kusainiwa na Rais inaweza kusimamishwa kutumika kwa tamko la mtu mmoja? Kaamuka tokea huko alikotoka magogoni na kusema isitumike hadi 2023 .Tujielekeze kujibu swali.
Cc. Mselewa, and others
Kwa wakati huu, nchi inaendeshwa kwa matamko na hisia binafsi za mtemi. Mtmi ndiyo katiba na sheria, yeye ni alpha na omega. Bisha, lia, kataa - umweli ndiyo huo
 
Wataalam wa sheria mtusaidie. Hivi sheria iliyopitishwa na Bunge tukufu na kusainiwa na Rais inaweza kusimamishwa kutumika kwa tamko la mtu mmoja? Kaamuka tokea huko alikotoka magogoni na kusema isitumike hadi 2023 .Tujielekeze kujibu swali.
Cc. Mselewa, and others
Kwa nchi za ki Africa Rais yuko juu ya sheria wakati mwingine hata katiba hawazijali .

Kinachotakiwa ni ile sheria kurudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho (amendment)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam wa sheria mtusaidie. Hivi sheria iliyopitishwa na Bunge tukufu na kusainiwa na Rais inaweza kusimamishwa kutumika kwa tamko la mtu mmoja? Kaamuka tokea huko alikotoka magogoni na kusema isitumike hadi 2023 .Tujielekeze kujibu swali.
Cc. Mselewa, and others
Formula haikuwekwa kwenye Sheria, aliachiwa Waziri ndio aamue. Kwa that time ilikua ni disadvantage kwa wafanyakazi maana Wazir alitumia chance hiyo kuwadhulumu. But Now inakua advantage sababu kwa vile haiko kwenye sheria mama basi Waziri akibanwa na Boss wake anaweza akaibadilisha
 
Wataalam wa sheria mtusaidie. Hivi sheria iliyopitishwa na Bunge tukufu na kusainiwa na Rais inaweza kusimamishwa kutumika kwa tamko la mtu mmoja? Kaamuka tokea huko alikotoka magogoni na kusema isitumike hadi 2023 .Tujielekeze kujibu swali.
Cc. Mselewa, and others
Nyie vijana wa ufipa mbona akili zenu ni fupi namna hii? Unajua tofauti ya Sheria na Kanuni? Kazi kupinga tu walau muwe mna-share huo utumbo wenu kabla ya kuuleta hapa jamvini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom