Swali: Je ni chama gani kilichofanya mikutano mingi na harakati nyingi zakisiasa mwaka 2013

Centrehalf

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
509
145
Salaam wana jamvi tunapoelekea kuumaliza mwaka 2013,nimeona ni vema tujaribu kuzipitia harakati zakiisiasa zinazofanywa navyama vyetu vya siasa vikiwemo CCM,TLP,CUF,NCCR,CHADEMA,DP,UDP NK.je katika vyama vyote ni chama gani unaona kimeongoza kwa kufanya mikutano mingi ya hadhara makongamano na ziara nyingi za viongozi wa kitaifa.naomba kuwasilisha.
 
CHADEMA..kila mtu anajua hivyo hata mungu anajua kua chadema kimefanya harakat nyingi kuliko chama chochote kile.
 
Ni chadema wamefanya mikutano mingi,na kuwaelimisha wananchi kuzijua haki za msingi na mstakabali wa nchi yao.
 
Back
Top Bottom