Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Salaam wana jamvi tunapoelekea kuumaliza mwaka 2013,nimeona ni vema tujaribu kuzipitia harakati zakiisiasa zinazofanywa navyama vyetu vya siasa vikiwemo CCM,TLP,CUF,NCCR,CHADEMA,DP,UDP NK.je katika vyama vyote ni chama gani unaona kimeongoza kwa kufanya mikutano mingi ya hadhara makongamano na ziara nyingi za viongozi wa kitaifa.naomba kuwasilisha.