Swali:Je naweza tumia security fund(NSSF) kama dhamana ya mkopo bank? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali:Je naweza tumia security fund(NSSF) kama dhamana ya mkopo bank?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LuCKNOVICH, Mar 25, 2012.

 1. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana JF.
  Nina fanya kazi na ninahitaji mkopo wa bank,je naweza tumia contribution yangu iliyopo NSSF kama dhamani ya mkopo kwa bank zetu.
  Kwa wenye ufahamu naoma mnijuze.

  Karibuni
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hao watu tunawasuburi kwenye katiba mpya maana tushawachoka,hela zetu mamilioni yapo tu kwao wanayafanyia biashara na kukopesha mafisadi tu!!
   
 3. Eros

  Eros JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Hicho ni kilio cha wengi mkuu, hitaji hilo lipo katika mashirika mengi ya umma, hasa TRL iliyo kuwa TRC.
  Iliyo binafsishwa kwa kampuni ya kitaperi ya RITES na sasa imerudishwa kwa selikari. wafanyakazi wa shirika
  hili hawajawahi kuwa na dhamana katika taasisi yoyote ya fedha, hawakopesheki popote. Hivyo mwenye
  ufahamu kuhusu hili atufahamishe tafadhari.
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nishawahi kuwauliza swali ka hilo wakanijibu kwa sasa hwafanyi hiyo huduma lakini wapo kwenye hatua za kufanya hilo liwezekane,hii itasaidia sana wakuu...
   
 5. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kama kuna wezi na Mafisadi wa kuburuta mahakamani ni hawa NSSF na wenzio wa mifuko ya jamii,iweje mfanyabiashara asiyechangia hata sh kumi akopeshwe hela za wafanyakazi na wachangiaji wenyewe hawakopeshwi? hawafaidiki na kitu chochote na hiyo michango yao
   
 6. M

  MAO Senior Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Baada ya Serikali kupitisha sheria namba 8 ya 2008 inayothibiti na kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, na baada ya Mamlaka yenyewe kuanzishwa, kitakachofuata ni Regulator kuweka utaratibu wa kumwezesha mwanachama kutumia sehemu ya michango yake kama collateral ya kukopa benki. Kama ni mwanachama wa PSPF, PPF, LAPF nk utaweza kukopa benki. Tumpe Regulator muda.

   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hili litakuwa jambo la maana sana!!!Hiyo sheria ya Miaka 60 haifai!!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sabayi acha tu,yani naomba mchakato wa kukusanya maoni uanze mapema hawa jamaa wa mifuko ya jamii(hasa hawa wa***** Nssf) tuwaadabishe lazima wawakopeshe wanachama wao au fedha za wanachama zitumike kama dhamana ktk mabenk tuweze kukopa otherwise lije shirika jingine mbadala litaloweza kutoa hyo huduma.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mda gani huo tangia 2008 mpaka leo bado huo mda hauwatoshi?
   
 10. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  0756517588. Nitafute ndugu nikupe mkopo toka international commercial bank. Nicheki for more details.
   
 11. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asanteni wakuu kwa michango yenu,hadi hapo nimeshapata mwanga,ila nikipata time tapitia office zao then tawajulisha.
  Big up JF
   
 12. W

  Wenger JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Marhaba watu tunataka mikopo, kwanini usiweke wazi masharti ya mikopo hapo International Commercial Bank kuliko mtu apoteze muda kufuatilia at the end unajua huwezi kopesheka? weka details hapa please
   
 13. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mikopo yetu kwa sasa, inaanzia mil 100 na kuendelea, sifa za mwombaji kwanza awe na financial statements and all the legal documents za kampuni or biashara yako. The rest ni mambo madogo madogo yanayowezekana.
   
 14. S

  Saad haroub New Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes excellent mr! Yu what? Always the problem is not to cut a cake but the proplem is how to distribut a cake! There fore a very attractive financial statement such trading,profit and loss A/C and balance sheet must be cearly presented so as to facilitate financial jugment and decision from your business. Then management or team work may decied how much they might give you as loan contract!. Plz i would like to advice my fellow tanzanian in our daily business we must keep records intems of financial statement that will enble us to gate easy loan at convinience time!:/.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Huu ndio udhaifu wa NSSF,
  Hivi wakilipa hua wana-consider "Time Value for Money"??
  Maana ni wizi kunilipa kama ilivyo laki 2 uliyonikata miaka 10 iliyopita
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nikisikia hivi, moyo unauma.
  Hivi laki 3 zangu baada ya miaka 20 si itakuwa sawa na sh.1
   
Loading...