Je, Morrison angeweza mfanyia Zahera uhuni anaomfanyia mzungu na viongozi wa Yanga na bado akapata namba?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,525
Habari wadau

Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu.

Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli..

Ukali unasaidia sana kuleta nidhamu..

Yanga ya Zahera hata hela ilikuwa haina za mishahara ila bado kocha alikuwa mkali na nidhamu ilikuwepo.. yanga ya leo na hela za gsm wachezaji wanafanya wanavyotaka

Msolla na Mkwassa na Mwakalebela.. muondoke yanga nyinyi ndio kirusi
 
Hao makocha wote ni agents wa kjuuza wachezaji makapi Africa. Wote wanajuana na wapo kwenye mtandao mmoja.
Angalia historia zao utanielewa.
Sven yupo tofauti, ni kocha anayejenga CV yake. Yanga inahitaji kocha kama Sven
Yanga pia inahitaji wachezaji wengi wa ndani ambao ni bora. Na wachache kutoka nje.
Wachezaji wa nje wawe labda watano tu, ila wakali. Kuliko kumi magarasa.
 
unajua aliyemleta huyo ndevu za karantin?kwamba hajui ununda wake?
hao wamekutana wote manunda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom