Swali: Je kuna dawa ya kuzuia ndevu kupata

Syolosu

JF-Expert Member
Oct 18, 2019
867
1,008
Natumai mpo poa!; na wenyeshida poleni sana.

Leo nimekutana na mmasai mmoja ananiambia anadawa ya mitishamba ya kuzuia ndevu kuota. Anadai unapaka mfano kwa kufuata kuliacha labda umbo la O vile unataka au zote zisiote .Pia nywele za kwapani hata ikulu. Nikashituka mmm! hivi kweli hichi kitu kinawezekaje? kwamba Leo nipo na umri wa nusu ya life Span ya Tz sijawai sikia hii dawa.

Nikijitathimini ndevu zinanisumbua nikinyoa upele unaota pia mtu anaenipahabari yeye anandevu kidevuni kwa chini tu anasema nilipaka. Nikakumbuka wamasai wengi hawana masharubu au ndo wanatumia.

Yotenikaona nisikosoe nature kabla ya kushirikisha jukwaa lenye watu wajuvi wa mambo kama hapa JF.
 
Wahanga ni wengi mno
ila dawa ya asili kama anayo nna mashaka na huyo Yelo

Hao jamaa nao siku hizi wapo kibiashara zaidi, hakuna dawa hawana kuwa makini sana usijebabuka kidevu.
 
MKUU KAMA UNASUMBULIWA NA MAPELE YA NDEVU HASA UKINYOA MWENYEWE DAWA NI NDOGO MNOOOO

KABLA YA KUNYOA ANDAA KIPANDE CHA NDIMU AU LIMAO,KISHA NYOA NDEVU ZAKO KWA KUFUATA NAMNA ZILIVYOOTA,BAADA YA KUMALIZA KAMUA NDIMU NA KUPAKA KIDEVU CHOTE KISHA ACHA KAMA DAKIKA KUMI NDO UKAOGE.ILA ANGALIZO KAMA UMEJIKATA AU MAPELE NI MENGI NDIMU INAUMA BALAA ZAIDI YA SPIRIT.

NJIA HII NI YA ASILI NA HAINA MADHARA,WASAIDIE NA WENGINE PIA KWA KUWAMBIA,UKIWA FIT UTANIJULISHA PM MATOKEO YAKE
 
Wahanga ni wengi mno
ila dawa ya asili kama anayo nna mashaka na huyo Yelo,
Hao jamaa nao siku hizi wapo kibiashara zaidi, hakuna dawa hawana kuwa makini sana usijebabuka kidevu.
Unajua bila kutuliza akili unanunua yaani nimetoka kuongea na mdada anasema mbona kama unateseka na ndevu ukinyoa. Afu yelo baadae nakutana anatangaza dawa ya kutootesha ndevu
 
MKUU KAMA UNASUMBULIWA NA MAPELE YA NDEVU HASA UKINYOA MWENYEWE DAWA NI NDOGO MNOOOO

KABLA YA KUNYOA ANDAA KIPANDE CHA NDIMU AU LIMAO,KISHA NYOA NDEVU ZAKO KWA KUFUATA NAMNA ZILIVYOOTA,BAADA YA KUMALIZA KAMUA NDIMU NA KUPAKA KIDEVU CHOTE KISHA ACHA KAMA DAKIKA KUMI NDO UKAOGE.ILA ANGALIZO KAMA UMEJIKATA AU MAPELE NI MENGI NDIMU INAUMA BALAA ZAIDI YA SPIRIT.

NJIA HII NI YA ASILI NA HAINA MADHARA,WASAIDIE NA WENGINE PIA KWA KUWAMBIA,UKIWA FIT UTANIJULISHA PM MATOKEO YAKE
OK
Haileti weusi. kama ntatumia ntaleta mrejesho hapahapa huenda kuna mwingine anasuluhisho lingine pia
 
Umenikumbusha mwaka jana kuna wamasai wawili walipita hapa kwenye banda langu ninapouziaga majeneza wakaniletea story kama hiyo eti wanayo dawa ya kupaka tu inazuia ndevu kuota!

Nakumbuka niliwapa kama elfu ishirini na tano hivi wakanipa vidawa flani vya unga wakasema nikanyoe kisha nipake sehemu nisiyohitaji ndevu ziote
nilifanya hivyo lakn mpaka naandika comment hii nina madevu kama fagio la buibui.!
Na hao masai sijawahi kuwaona wakipita tena mtaa huu
 
Natumai mpo poa!; na wenyeshida poleni sana.

Leo nimekutana na mmasai mmoja ananiambia anadawa ya mitishamba ya kuzuia ndevu kuota. Anadai unapaka mfano kwa kufuata kuliacha labda umbo la O vile unataka au zote zisiote .Pia nywele za kwapani hata ikulu. Nikashituka mmm! hivi kweli hichi kitu kinawezekaje? kwamba Leo nipo na umri wa nusu ya life Span ya Tz sijawai sikia hii dawa.

Nikijitathimini ndevu zinanisumbua nikinyoa upele unaota pia mtu anaenipahabari yeye anandevu kidevuni kwa chini tu anasema nilipaka. Nikakumbuka wamasai wengi hawana masharubu au ndo wanatumia.

Yotenikaona nisikosoe nature kabla ya kushirikisha jukwaa lenye watu wajuvi wa mambo kama hapa JF.
Brother unashida gani ? duniani sasa hivi wanaume wanatafuta ndevu mpaka kwakufanyiwa operation wewe unazikataa kweli kabisa,
 
Umenikumbusha mwaka jana kuna wamasai wawili walipita hapa kwenye banda langu ninapouziaga majeneza wakaniletea story kama hiyo eti wanayo dawa ya kupaka tu inazuia ndevu kuota!
Nakumbuka niliwapa kama elfu ishirini na tano hivi wakanipa vidawa flani vya unga wakasema nikanyoe kisha nipake sehemu nisiyohitaji ndevu ziote
nilifanya hivyo lakn mpaka naandika comment hii nina madevu kama fagio la buibui.!
Na hao masai sijawahi kuwaona wakipita tena mtaa

Brother unashida gani ? duniani sasa hivi wanaume wanatafuta ndevu mpaka kwakufanyiwa operation wewe unazikataa kweli kabisa,
Maisha ndivyo yalivyo kaka . kama huna lazima utafute na ukiwanacho unataka marekebisho.
Upele mashavuni unasumbua
 
Umenikumbusha mwaka jana kuna wamasai wawili walipita hapa kwenye banda langu ninapouziaga majeneza wakaniletea story kama hiyo eti wanayo dawa ya kupaka tu inazuia ndevu kuota!
Nakumbuka niliwapa kama elfu ishirini na tano hivi wakanipa vidawa flani vya unga wakasema nikanyoe kisha nipake sehemu nisiyohitaji ndevu ziote
nilifanya hivyo lakn mpaka naandika comment hii nina madevu kama fagio la buibui.!
Na hao masai sijawahi kuwaona wakipita tena mtaa huu
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom