Swali: IGP - Mangu

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Je jeshi letu la polisi lina kikosi cha Anga? Police Air Wing?

Kama hakipo kwa nini? Wakati lingeweza kusaidia issue ya road traffic management na uhalifu pia? Pamoja na disaster management?

Kama kipo, kamanda wake ni nani? na kinasaidia je jeshi la polisi kuwa na ufanisi?
 
Back
Top Bottom