SWALI; Hivi siku hizi bado kuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja tu?

Challya

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
462
578
Kama title inavyouliza;
-Mwanamke anaweza akalia na kutoa machozi akidai anakupenda kumbe ana wanaume wengine pia.( Ni wazuri sana kudanganya na kuigiza)
_Jiulize,mwanamke akitembea barabarani anasimamishwa na wanaume wangapi kutongozwa tena wazuri na wenye uwezo wa kifedha zaidi yako?
_Pia jiulize, mwanamke akiingia tu Facebook, Instagram, WhatsaApp au hata hapa tu,jiulize anatongozwa na wangapi?
_Na pia jiulize hata kazini kwake anatongozwa na wangapi?
_.....SASA JIULIZE WEWE NI NANI HADI AWE NA WEWE TU PEKEE YAKO?

USHAURI; WANAUME WENZANGU HATA SIKU MOJA USIWE NA MWANAMKE MMOJA NDIO MAANA WAPO WENGI ZAIDI YETU NA KAMWE USIMUAMINI MWANAMKE.
utamuuh_wa_hamuuh-20190617-0005.jpeg
 
wako wengi tuu waaminifu....wangu ni wa peke yangu....naamini hivyo......ukiamini ni wako pekee hutopata presha.....na watoto keshakuzalia shida nini braza.......mziki anakupa mubashara.....wataka nini....amini ni wako pekee....
Unaweza kuamini hivyo ikawa tofauti, cha muhimu ni kutokuwa na mmoja.
 
Back
Top Bottom