Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

Una shida kichwani!

Rushwa haiwahusu chadema?

Unaona Lowasa kutoa mabilioni ili agombee urais kupitia chadema siyo rushwa?
Cdm haijawahi kufanya mabaya kama uongozi wa Ccm kwa ujumla wake.

Waliotuingiza mikataba mibovu si Cdm ni Ccm . Na kikubwa hapo ni rushwa nothing else. Waliokubaliana na umadikini wa wananchi ni Ccm na si Cdm
 
Kwa sababu hiyo basi chadema wakijilia mihela ya kuhongwa ni sawa tu?
 
Back
Top Bottom