deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
Mwenye channel kuna kiasi anachomlipa mwenye kisimbuzi ili ionyeshwe TV yake.Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
Kwa asilimia kubwa ni matangazo mkuuHili swali hata mimi nataka majibu.
Je mwenye channel anapataje faida?
Anapata faida kupitia yale matangazo anayorusha yani wadhamini wa vipindi. tangazo uwa na sekunde kuanzia 15 mpaka 30 na bei hutofautiana, na kila muda uwa na bei tofauti. Mfano, mara nyingi muda wa habari kama ile habari ya saa mbili ya ITV ukitaka tangazo lako lliruke utachajiwa zaidi kuliko labda liruke saa saba mchana kutokana na muda huo kuwa na odience kubwa ambao ni potential odience wanaoweza nunua au tumia service inayotangazwa.Hili swali hata mimi nataka majibu.
Je mwenye channel anapataje faida?
Ahsante sana,vipi matangazo ya live gharama zikoje?Anapata faida kupitia yale matangazo anayorusha yani wadhamini wa vipindi. tangazo uwa na sekunde kuanzia 15 mpaka 30 na bei hutofautiana, na kila muda uwa na bei tofauti. Mfano, mara nyingi muda wa habari kama ile habari ya saa mbili ya ITV ukitaka tangazo lako lliruke utachajiwa zaidi kuliko labda liruke saa saba mchana kutokana na muda huo kuwa na odience kubwa ambao ni potential odience wanaoweza nunua au tumia service inayotangazwa.
Pia kipindi husika, kuna vipindi vinajulikana vinapendwa sana vina watazamaji wengi, ukitaka weka tangazo lako bei inaweza kuwa tofauti kuliko kipindi kingine.
Kila kituo kina gharama zake, na hata hivyo kurusha matangazo live ni gharama, na kila kituo kinatofautiana bei na kituo kingine kuna kipindi channel 10 ilikuwa na gharama kubwa kurusha tangazo kuliko TV yoyote. Halafu ukiwa na kitu kinafika dakika 3 wanakigeuza kuwa kipindi siyo tangazo tena.Ahsante sana,vipi matangazo ya live gharama zikoje?
Kama Chanell ambazo ni FTA zinazotegemea matangazo na chanell nyengine ni za kulipia,Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
Ahsante sana.Kila kituo kina gharama zake, na hata hivyo kurusha matangazo live ni gharama, na kila kituo kinatofautiana bei na kituo kingine kuna kipindi channel 10 ilikuwa na gharama kubwa kurusha tangazo kuliko TV yoyote. Halafu ukiwa na kitu kinafika dakika 3 wanakigeuza kuwa kipindi siyo tangazo tena.
Naaam,mfano kwenye azam kuna chanel ni bure ingawa si FTA zile tano,je wao ndio wanamlipa azam au azam anawalipa wao?Kama Chanell ambazo ni FTA zinazotegemea matangazo na chanell nyengine ni za kulipia,
Chanell za kulipia mwenye decoder anamlipa mwenye chanell,
Mmiliki si mmoja?Naaam,mfano kwenye azam kuna chanel ni bure ingawa si FTA zile tano,je wao ndio wanamlipa azam au azam anawalipa wao?
Nimemaanisha km clouds,upendo nazo malipo yakoje?Mmiliki si mmoja?
Channel za FTA mfano, ITV, startv, tbc, clouds, channel 10, upendo n.k wamiliki wa Dekoda hawawalipi chochote, hawa mapato yao yapo kwenye matangazo yao & wenye dekoda wanafaidika kwa sisi customers kununua dekoda zaoSijashiba na majibu yaliotolewa
Nani anaweza kufafanua uzuri?