Swali hivi mwenye chanel na mmiliki wa visimbuzi nani humlipa mwenzake?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,411
1,500
Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,835
2,000
Hili swali hata mimi nataka majibu.

Je mwenye channel anapataje faida?
Anapata faida kupitia yale matangazo anayorusha yani wadhamini wa vipindi. tangazo uwa na sekunde kuanzia 15 mpaka 30 na bei hutofautiana, na kila muda uwa na bei tofauti. Mfano, mara nyingi muda wa habari kama ile habari ya saa mbili ya ITV ukitaka tangazo lako lliruke utachajiwa zaidi kuliko labda liruke saa saba mchana kutokana na muda huo kuwa na odience kubwa ambao ni potential odience wanaoweza nunua au tumia service inayotangazwa.
Pia kipindi husika, kuna vipindi vinajulikana vinapendwa sana vina watazamaji wengi, ukitaka weka tangazo lako bei inaweza kuwa tofauti kuliko kipindi kingine.
 
Ahsante sana,vipi matangazo ya live gharama zikoje?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,835
2,000
Ahsante sana,vipi matangazo ya live gharama zikoje?
Kila kituo kina gharama zake, na hata hivyo kurusha matangazo live ni gharama, na kila kituo kinatofautiana bei na kituo kingine kuna kipindi channel 10 ilikuwa na gharama kubwa kurusha tangazo kuliko TV yoyote. Halafu ukiwa na kitu kinafika dakika 3 wanakigeuza kuwa kipindi siyo tangazo tena.
 
deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,411
1,500
Kila kituo kina gharama zake, na hata hivyo kurusha matangazo live ni gharama, na kila kituo kinatofautiana bei na kituo kingine kuna kipindi channel 10 ilikuwa na gharama kubwa kurusha tangazo kuliko TV yoyote. Halafu ukiwa na kitu kinafika dakika 3 wanakigeuza kuwa kipindi siyo tangazo tena.
Ahsante sana.
 
deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,411
1,500
Kama Chanell ambazo ni FTA zinazotegemea matangazo na chanell nyengine ni za kulipia,

Chanell za kulipia mwenye decoder anamlipa mwenye chanell,
Naaam,mfano kwenye azam kuna chanel ni bure ingawa si FTA zile tano,je wao ndio wanamlipa azam au azam anawalipa wao?
 
Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
4,019
2,000
Sijashiba na majibu yaliotolewa

Nani anaweza kufafanua uzuri?
 
khamis930

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
228
225
Sijashiba na majibu yaliotolewa

Nani anaweza kufafanua uzuri?
Channel za FTA mfano, ITV, startv, tbc, clouds, channel 10, upendo n.k wamiliki wa Dekoda hawawalipi chochote, hawa mapato yao yapo kwenye matangazo yao & wenye dekoda wanafaidika kwa sisi customers kununua dekoda zao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom