Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,204
- 3,277
Kama kuna nchi ambayo inatesa wapinzani, sasa Tanzania itakuwa inashika nafasi ya kwanza duniani. Huu ukamataji na ufungaji wa viongozi wa upinzani lock up/jela umefikia kwenye "alarming level". Imefika hatua wanaviziwa na polisi hadi bungeni,yaani polisi wana njaa nao hadi wanashindwa kuwavumilia wamalize majukumu yao bungeni.
Naomba wale wazee wa zamani, enzi za utawala wa mkoloni, hivi wanaharakati wa enzi hizo kama akina Nyerere, Karume, bibi Titi Mohammed nk, walikuwa wanakamatwa kwa kiasi hiki?
Naomba wale wazee wa zamani, enzi za utawala wa mkoloni, hivi wanaharakati wa enzi hizo kama akina Nyerere, Karume, bibi Titi Mohammed nk, walikuwa wanakamatwa kwa kiasi hiki?