Swali hili Baya na halikufaa kuulizwa Mbowe kutoka kwa kinywa Cha Rais

Pili nichukue fursa hii kumpongeza Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakika ntakuwa mnafiki nisiposema kongore kwa kazi unayonifanyia ya kuliponya Taifa ambalo wewe enzi hizo ulishiriki kuliingizia kirusi maradhi ambacho Sasa unaangaika kuliponya hakika sie watoto wa mjini tunasema ULILIKOROGA Sasa UTARINYWA.
Unampongeza huku unamnanga tena🤣
 
Sasa umeshakiri kuwa una element za kuwa kibaraka unafikiri uko sawa kisaikolojia?

Mtu kama Musiba kwa aliyokua akifanya unaona alikua timamu kweli ?
 
Kwanza nianze kwa kutoa kongole kwa wamama wote nchini Tanzania, nikiri kama wanavyokiri wenzangu ya kuwa nyinyi ni jeshi kubwa na nguzo imara kwa Taifa letu.

Pili nichukue fursa hii kumpongeza Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakika nitakuwa mnafiki nisiposema kongole kwa kazi unayonifanyia ya kuliponya Taifa ambalo wewe enzi hizo ulishiriki kuliingizia kirusi maradhi ambacho Sasa unahangaika kuliponya hakika sie watoto wa mjini tunasema ULILIKOROGA Sasa UTALINYWA.

Tatu nitumie fursa hii kumpongeza kiongozi, ama Mwenyekiti wa chadema Taifa kwa hotuba yake aliyoitoa Jana mkoani Iringa hakika ni hotuba nzuri Sana ikiongozwa na ya mama Samia.

Kimsingi niende kwenye hoja

Moja ya kauli aliyoitoa Mbowe wakati akihutubia wakina mama wanachadema ni hii ''nilipo Toka gerezani nilipokea wito wa kuitwa Ikulu, NAMI nilikubali na nikatii kwenda siku ile ile, nilipofika Ikulu Mama Samia(Rais wa nchi)aliniuliza kwani Mbowe una shida gani''? ''Nikamjibu ya kuwa mama Mimi Sina shida''

Napata maswali mengi hapa;

Hivi ni Watanzania wangapi leo hii tunaweza itwa na Rais wa nchi na kuulizwa swali Ili na tukamjibu hivyo? Je Kwa Nini Rais aulize swali la namna hii kwa mtu kama Mbowe aliyekaa gerezani siku zote hizo?

Hivi pata picha swali kama hilo wangeulizwa wale wakina Pascally Mayala, waliotangaza kuacha uandishi wa habari Ili waende kuunga mkono juhudi Tena juhudi za ovyo kuitawala za akina mwendazake na wenzake wangeulizwa swali la namna hiyo wangejibuje?

Je Rais wa nchi ni sahihi kweli kumuita mtu Ikulu Tena haraka baada ya kutoka jera, na kumuuliza swali la namna hiyo swali ambalo halikuwa na masilai kwa wanachadema wote Bali masilai kwa Mbowe pekee?

Najiuliza swali kama ilo wangeulizwa wakina Mashinji, peter lijualikali,Halima mdeee Esteher Matiko na wenzake Nini kingejili kwa masilai ya Taifa?

Najiuliza swali Ili wangeulizwa wakina nani wale sijui wangejibuje?

Swali Ili ni swali fikirishi sanaaa najiuliza leo hii akiitwa Zitto zuberi kabwe angejibuje?

Najiuliza ningeulizwa Mimi leo sifi leo unashinda gani pale pale ningejibu Mimi nigeuze KIBARAKA wako,niwe kama MSIBA na mwendazake,ila unipe ruzuku. Na stori zingeishia pale kesho yake ningefungua kijarida kama kile kinaitwa sijui mwanahabari,sijui machinga na kusema wewe ndiye Mkombozi wetu na ningeweka PC Yako na picha mme yaani baba ambae ni mme wa Raisi nikasema wewe ni Jembe letu.

Mpaka Sasa najiuliza swali Ili angeulizwa Dr Slaa, walah sijui angejibuje jaman jaman nisaideni nyinyi mngejibu?
cc: Pascal Mayalla 😂 😂 😂 😂
 
Time will tell amesema anapakua taratiiiibu ngojea tuone chakula kinachafata ni kipi?
Mbowe ni bingwa wa kuwalia timing wafuasi wake machadema kwa kauli tam tam! Kumbuka ile ya "tumebadirishia gia angani"

Bahati mbaya sana wafuasi wake ni kama sukule tu!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nianze kwa kutoa kongole kwa wamama wote nchini Tanzania, nikiri kama wanavyokiri wenzangu ya kuwa nyinyi ni jeshi kubwa na nguzo imara kwa Taifa letu.

Pili nichukue fursa hii kumpongeza Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakika nitakuwa mnafiki nisiposema kongole kwa kazi unayonifanyia ya kuliponya Taifa ambalo wewe enzi hizo ulishiriki kuliingizia kirusi maradhi ambacho Sasa unahangaika kuliponya hakika sie watoto wa mjini tunasema ULILIKOROGA Sasa UTALINYWA.

Tatu nitumie fursa hii kumpongeza kiongozi, ama Mwenyekiti wa chadema Taifa kwa hotuba yake aliyoitoa Jana mkoani Iringa hakika ni hotuba nzuri Sana ikiongozwa na ya mama Samia.

Kimsingi niende kwenye hoja

Moja ya kauli aliyoitoa Mbowe wakati akihutubia wakina mama wanachadema ni hii ''nilipo Toka gerezani nilipokea wito wa kuitwa Ikulu, NAMI nilikubali na nikatii kwenda siku ile ile, nilipofika Ikulu Mama Samia(Rais wa nchi)aliniuliza kwani Mbowe una shida gani''? ''Nikamjibu ya kuwa mama Mimi Sina shida''

Napata maswali mengi hapa;

Hivi ni Watanzania wangapi leo hii tunaweza itwa na Rais wa nchi na kuulizwa swali Ili na tukamjibu hivyo? Je Kwa Nini Rais aulize swali la namna hii kwa mtu kama Mbowe aliyekaa gerezani siku zote hizo?

Hivi pata picha swali kama hilo wangeulizwa wale wakina Pascally Mayala, waliotangaza kuacha uandishi wa habari Ili waende kuunga mkono juhudi Tena juhudi za ovyo kuitawala za akina mwendazake na wenzake wangeulizwa swali la namna hiyo wangejibuje?

Je Rais wa nchi ni sahihi kweli kumuita mtu Ikulu Tena haraka baada ya kutoka jera, na kumuuliza swali la namna hiyo swali ambalo halikuwa na masilai kwa wanachadema wote Bali masilai kwa Mbowe pekee?

Najiuliza swali kama ilo wangeulizwa wakina Mashinji, peter lijualikali,Halima mdeee Esteher Matiko na wenzake Nini kingejili kwa masilai ya Taifa?

Najiuliza swali Ili wangeulizwa wakina nani wale sijui wangejibuje?

Swali Ili ni swali fikirishi sanaaa najiuliza leo hii akiitwa Zitto zuberi kabwe angejibuje?

Najiuliza ningeulizwa Mimi leo sifi leo unashinda gani pale pale ningejibu Mimi nigeuze KIBARAKA wako,niwe kama MSIBA na mwendazake,ila unipe ruzuku. Na stori zingeishia pale kesho yake ningefungua kijarida kama kile kinaitwa sijui mwanahabari,sijui machinga na kusema wewe ndiye Mkombozi wetu na ningeweka PC Yako na picha mme yaani baba ambae ni mme wa Raisi nikasema wewe ni Jembe letu.

Mpaka Sasa najiuliza swali Ili angeulizwa Dr Slaa, walah sijui angejibuje jaman jaman nisaideni nyinyi mngejibu?
Mimi ningemjibu mheshimiwa nimesubiri miaka mingi sana tangu mwaka 1995 baada tu ya uchaguzi mkuu ambao almanusura Mrema angechukua Nchi !! Nilitegemea Ccm wangenishika mkono baada ya ile kazi ngumu niliyoifanya ya kupangua hoja za mrema na wenzie !! Lakini mpaka Leo hii nimeshazeeka sikupata chochote zaidi ya kutengenezewa kashfa ya kunikashifu mitaani kipindi cha Mhe Kikwete !!
 
Bora wewe aise wengine wanao soma Uzi na kutoa kasoro uchwara wanakuwa Kam walikatwa na mangiriba
 
"Swali Ili ni swali fikirishi sanaaa najiuliza leo hii akiitwa Zitto zuberi kabwe angejibuje?"

😀😀

IMG_20220309_104731_713.jpg
 
Aliulizwa hivyo akimaanisha kuwa ,
Hivi anashida gani mbona anapenda siasa za fujofujo?
 
Ni kweli hana shida wenye shida ni CCM.

Hilo swali ni kutaka kumpima kwamba je bado Mbowe ni yule yule au amekuwa soft ?? Lile swali ni la kusoma saikolojia ya MTU !!
 
Back
Top Bottom