Swali gumu....Lakini linajadilika

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku.

Jee kuna haja ya serikali kupitisha sheria zitakazoruhusu mahusiano haya yawe halali kisheria?

hakuna haja.........................FULL STOP n Thread Closed.

Any way! siyo haja iwepo au isiwepo. Ukweli wa mambo haya mambo yanatendeka kwenye jamii yetu na wengi wetu tunayajua. Tatizo letu tunajigeuza mbuni kwa kutumbukiza vichwa mchangani wakati mwili mkubwa unaonekana.

Ukienda kwenye kumbi kunakopigwa Taarabu mashoga wamejaa kibao, na mitaani Tigo siyo tena Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mkononi bali ni jambo lingine kabisa.

Haya mambo yapo swali yahalalishwe au yasihalalishwe?

Tujiulize ushoga kutokana na biblia na koran ni dhambi.
Ila kisheria nchini ni kosa au sio kosa? Sheria inasemaje?
Na pia je ni bora kuwa jambazi, mwizi, fisadi na muuaji kuliko kuwa shoga?
Je shoga kwa kutiwa anakuathiri vipi maisha yako?
Hakuibii, havunji nyumba yako, hakukati mapanga, wala kukuibia chochote. Kwaninini basi unajiona unaathirika na yeye kupenda kutiwa nyuma?
Itabidi wana jamii wai discuss hii issue ni nzito mno!

Kigarama, hata mimi nawapinga wapenzi wa taarabu ambao ni wanaume.

Ushoga na taaribu ni mtu na kaka yake. We kama ni mwanaume unayependa taarabu..ur a g@Y. We D.G.A.F in Tz! No homo!

Tuanze kwanza na hao wanaochukua mashoga. Huwa najiuliza saana inakuwaje mwanaume anakuwa na ujasiri anasubutu kumwinamisha mwanaume mwenzie huku pumbu zikininginia kama za kwake na kuanza kumla kiboga?hv wanaume wa dizaini hii wanaojiita mabhasha wanakuwa wako timamu kichwani au wanakuwa na matatizo?

Unajua tatizo hili limeanzia Nchi za Ulaya na America. Na kama ambavyo sisi nchi za kiafrika tusivyo na msimamo na tabia ya kumuabudu mweupe,nahisi nchi hizi zikitulazimisha kuwatambua hawa watu lazima tutafanya tu.
Na ninasema hayo nikiwa nina uhakika na kile ninachoandika. Mfano AU imeshindwa kuzuia USA na NATO kuivamia Libya. Tutaweza suala dogo kama hilo?

Kigarama, hata mimi nawapinga wapenzi wa taarabu ambao ni wanaume.

Ushoga na taaribu ni mtu na kaka yake. We kama ni mwanaume unayependa taarabu..ur a g@Y. We D.G.A.F in Tz! No homo!

Dah,umewasema wengi saaaaaana hapo. but mbona hao wanaume wengine katika taarabu wanaoa kila day?!

ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku.

Jee kuna haja ya serikali kupitisha sheria zitakazoruhusu mahusiano haya yawe halali kisheria?

Watu wa ustawi wa jamii wanashindwa kudeal na majukumu mepesi mepesi kama ya omba omba. Ukienda kuuliza ofisi ya ustawi wa jamii ilala au kinondoni kujua kuna omba omba wangapi, majina yao,wametoka wapi kwenye takwiimu zao hawana jibu. Hawana daftari hata la wale omba omba maarfuru wanaotumia watoto. ...

Sasa watu walioajiriwa ustawi wa jamii kama wanashindwa kufanya na kufuatiilia mambo mepesi mepesi watawezaje kufikiria issue complex kama hizo. za ushoga na usagaji.

eti ustawi wa jamii idara nzima toka asubihi mpaka jioni wafanyakazi wote wako ofisni. hakuna anayezunguka zunguka kufutilia issue za huo ustawi wa jamii

kabla ya kukujibu piga picha mtoto wako jemadari lako limekuwa shoga then fanya maamuzi

kabla ya kukujibu piga picha mtoto wako jemadari lako limekuwa shoga then fanya maamuzi

Ungeanza wewe kwanza ku imagine hiyo kitu,halafu chukulia mtaa unaokaa unafahamika/wanakuita kwa jina la huyo mwanao anayeliwa jicho.

Watu wa ustawi wa jamii wanashindwa kudeaal na majukumu mepsi mepesi kama ya omba omba. Ukienda kuuliza ofisi ya ustawi wa jamii ilala au kinondni odnodi kujua kuna omba omba wangapi, majina yao,wametoka wapi kwenye takwiimu zao hawana jibu. Hawana dafari hata la wale omba omba maarfuru wanaotumia watoto. ...

Sasa watu waliojairiwa ustawiwa jamii kama wanashindwa kufanya na kufuatailia mambo mepesi mepesi watawezaje kufikiria issue complex kama hizo. za ushga na usagaji.

eti ustawi wa jamii idara nzima toka asubihi mpaka jioni wafanyakaziwte wako ofisni. hakuna anayezunguka zunguka kufutilia issue za huo ustawiwa jamii

Hapa tuna kazi kubwa ya kuanza kuwafundisha watu wetu wetu kusoma na kuandika, nadhani ile report ya UWEZO inajitanaisha kwa watu kama hawa.

That is bushit, no need even to think about that. Unajua hata hao ambao wanapractice mambo hayo, sehemu kubwa ya jamii hairidhiki na hayo na inataka hayo mambo yasiwepo lakini it is too late for their kind of democracy kuyapinga hayo. Ili binadamu uwezo kumtawala vizuri kitu cha kwanza hakikisha kuwa unavunja mila, desturi na tamaduni zake. Sasa lazima tuamini kuwa haya mambo hata kama yanakuja kwa kasi si yetu haya, tuyaogope kama ukoma kwakuwa haya tija. Hivi wewe kama mzazi unaposikia mtoto wako wa kiume analwlwa hivi utajisikiaje? Mwl alisema tusiwe kama DODOKI, mbona tunashindwa kuiga mazuti mengi tu ambayo hawa jamaa wanayo.

Mimi nadai tulipinge hili kwa nguvu zote

Watu wa ustawi wa jamii wanashindwa kudeal na majukumu mepesi mepesi kama ya omba omba. Ukienda kuuliza ofisi ya ustawi wa jamii ilala au kinondoni kujua kuna omba omba wangapi, majina yao,wametoka wapi kwenye takwimu zao hawana jibu. Hawana daftari hata la wale omba omba maarufu wanaowatumia watoto. ...

Sasa watu waliojairiwa ustawi wa jamii kama wanashindwa kufanya na kufuatailia mambo mepesi mepesi watawezaje kufikiria issue complex kama hizo. za ushoga na usagaji.

eti ustawi wa jamii idara nzima toka asubuhi mpaka jioni wafanyakazi wake wako ofisini. hakuna anayezunguka zunguka kufuatilia issue za huo ustawi wa jamii
Ustawi wa Jamii wa Nchini Msumbiji wanatembea mjini na kuwahamasisha watu wasiwape hela Omba omba bali wawaelekeze wapi zilipo ofisi za Ustawi wa Jamii ili wakasaidiwe

Dah,umewasema wengi saaaaaana hapo. but mbona hao wanaume wengine katika taarabu wanaoa kila day?!
jiulize kwa nini wanaachana na wake zao ovyo? Kwa nini utasikia wanaoa wanawake wa bendi moja kama si udomo zege? Mwanaume utapendaje vidole juu? Hawa jamaa wanamatatizo.

ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku.

Jee kuna haja ya serikali kupitisha sheria zitakazoruhusu mahusiano haya yawe halali kisheria?

unajua unachokiongea lakini nalazimika kuhisi utakua shoga tu no way out (sory kama i'm wrong)...what you mean is that serikali iwe inakaa inaangalia ikiona ujambazi umezidi iuhalalishe,ikiona wavuta unga na mateja wamezidi mtaani iruhusu uuzwe dukani kama ngano...yaan uhalifu uruhusiwe kwa vile tu umeshamiri...mimi binafsi ningekua mtu mwenye mamlaka juu ya nchi bila kuangalia haki za binadamu kila jishoga lingekua na selo yake special atakaa humo hadi afie humo end of story!

Yeah bt itumike bagamoyo, mkuranga, lushoto, tanga na mombasa border! Upcountry Regions should be STOPED!

Kigarama, hata mimi nawapinga wapenzi wa taarabu ambao ni wanaume..Ushoga na taarabu ni mtu na kaka yake. We kama ni mwanaume unayependa taarabu..ur a g@Y. We D.G.A.F in Tz! No homo!

... Mwanaume utapendaje vidole juu? Hawa jamaa wanamatatizo.
mkuu hapa unakosea sana,mimi ni mwanaume sipendi taarabu lakini hapo zamani nilikuwa naenda kwenye kumbi za taarabu kufata totoz,huwa wanakuja totoz za ukweli wazazi wakijuwa eti kwenye taarabu ni 'safe'.
Hamna kuhalalisha ushoga/usagaji waendelee hivyo hivyo kimyakimya kwa kujificha,tukianza kuwatambua itafuata ndoa za jinsia moja, kuasili watoto kwenye ndoa hizo za jinsia moja na hata kurithiana mali na vikorombwezo kibao,hamna kufungua mlango nusu.

unajua unachokiongea lakini nalazimika kuhisi utakua shoga tu no way out (sory kama i'm wrong)...what you mean is that serikali iwe inakaa inaangalia ikiona ujambazi umezidi iuhalalishe,ikiona wavuta unga na mateja wamezidi mtaani iruhusu uuzwe dukani kama ngano...yaan uhalifu uruhusiwe kwa vile tu umeshamiri...mimi binafsi ningekua mtu mwenye mamlaka juu ya nchi bila kuangalia haki za binadamu kila jishoga lingekua na selo yake special atakaa humo hadi afie humo end of story!

Kwanza mimi siyo shoga.... Mimi nawajua mashoga kibao na pia Rafiki yangu aliwahi kumfumania mkewe anayefanyakazi pale "Long Room" akisagana na mwenzie anayefanyakazi TIB. kwa hiyo tusijibaraguze, ushoga upo na usagaji upo pia.

Sijui ni wasichana wangapi siku hizi Tigo zao zimesalimika!!

Back
Top Bottom