SWALI GUMU la Karne kwa Mwana CCM na Mwana CHADEMA

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Kama wewe ni mwandishi wa habari haraka sana chukua simu yako and dial namba ya dr slaa. Msalimie vizuri huko aliko.muulize na mkewe anaendeleaje...usisahau kumuuliza mkewe kama hajambo.usisahau.muulize na hali ya hewa ya huko n.k

Halafu Muulize Lowassa Fisadi au siyo Fisadi? Mwambie ajibu tu kifupi kuwa "NI FISADI" au "SI FISADI" basi muage mtakie aenjoy kuwepo kule na mke wake.

Njoo Tanzania hapa hasa DSM au hata humu JF. Msalimie mwana CHADEMA mmoja anyeonekana maridadi... Muulize Je Lowassa Fisadi au si Fisadi. Naye ajibu kama alivyotakiwa kujibu Dr Slaa.

Halafu pita pita Lumumba pale utawakuta vijana na shati zao za kijani wanacheza karata na kunywa kahawa... Wasalimie...kisha waulize "Lowassa FISADI AU SIYO FISADI" Nao wakujibu kwa namna ambayo alipaswa kujibu Dr Slaa.

Halafu kaa chini pitia maoni na majadiliano ya miaka takriban 10 iliyopita. Utagundua kitu kimoja.

WATANZANIA TUNA PHD YA UNAFIKI.
 
Kama wewe ni mwandishi wa habari haraka sana chukua simu yako and dial namba ya dr slaa. Mwambie msalimie vizuri huko aliko.muulize na mkewe anaendeleaje...usisahau kumuuliza mkewe kama hajambo.hali ya hewa ya huko n.k

Halafu Muulize Lowassa Fisadi au siyo Fisadi? Mwambie ajibu tu kifupi kuwa "NI FISADI" au "SI FISADI" basi muage mtakie aenjoy kuwepo kule na mke wake.

Njoo Tanzania hapa hasa DSM au hata humu JF. Msalimie mwana CHADEMA mmoja anyeonekana maridadi... Muulize Je Lowassa Fisadi au si Fisadi. Naye ajibu kama alivyotakiwa kujibu Dr Slaa.

Halafu pita pita Lumumba pale utawakuta vijana na shati zao za kijani wanacheza karata na kunywa kahawa... Wasalimie...kisha waulize "Lowassa FISADI AU SIYO FISADI" Nao wakujibu kwa namna ambayo alipaswa kujibu Dr Slaa.

Halafu kaa chini pitia maoni na majadiliano ya miaka takriban 10 iliyopita. Utagundua kitu kimoja.

WATANZANIA TUNA PHD YA UNAFIKI.
Wanasiasa wanatufundisha kitu kimoja muhimu sana... TUSIWAAMINI KWA JAMBO LOLOTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mwandishi wa habari haraka sana chukua simu yako and dial namba ya dr slaa. Msalimie vizuri huko aliko.muulize na mkewe anaendeleaje...usisahau kumuuliza mkewe kama hajambo.usisahau.muulize na hali ya hewa ya huko n.k

Halafu Muulize Lowassa Fisadi au siyo Fisadi? Mwambie ajibu tu kifupi kuwa "NI FISADI" au "SI FISADI" basi muage mtakie aenjoy kuwepo kule na mke wake.

Njoo Tanzania hapa hasa DSM au hata humu JF. Msalimie mwana CHADEMA mmoja anyeonekana maridadi... Muulize Je Lowassa Fisadi au si Fisadi. Naye ajibu kama alivyotakiwa kujibu Dr Slaa.

Halafu pita pita Lumumba pale utawakuta vijana na shati zao za kijani wanacheza karata na kunywa kahawa... Wasalimie...kisha waulize "Lowassa FISADI AU SIYO FISADI" Nao wakujibu kwa namna ambayo alipaswa kujibu Dr Slaa.

Halafu kaa chini pitia maoni na majadiliano ya miaka takriban 10 iliyopita. Utagundua kitu kimoja.

WATANZANIA TUNA PHD YA UNAFIKI.
Lowassa ni mnafiki wa kwanza kabla ya watanzania na fisadi.

Binafsi nasema ni fisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wote na watanzania wengi hasa watanzania watumishi Ni mafisadi.. viongozi wakuu wa vyama vya siasa karibu wote Ni mafisadi
Wafanyakazi hasa kada ya elimu,vyombo vya usalama,vyombo vya kutafsiri sheria zaidi ya nusu Ni mafisadi..sema tu wametofautiana kiwango Cha kuibia serikali.mwingine anapiga mishindo mikuu ndo wa kina lowasa hao.mwingine pesa za kawaida million 100,50,40,30,10..
 
Kama wewe ni mwandishi wa habari haraka sana chukua simu yako and dial namba ya dr slaa. Msalimie vizuri huko aliko.muulize na mkewe anaendeleaje...usisahau kumuuliza mkewe kama hajambo.usisahau.muulize na hali ya hewa ya huko n.k

Halafu Muulize Lowassa Fisadi au siyo Fisadi? Mwambie ajibu tu kifupi kuwa "NI FISADI" au "SI FISADI" basi muage mtakie aenjoy kuwepo kule na mke wake.

Njoo Tanzania hapa hasa DSM au hata humu JF. Msalimie mwana CHADEMA mmoja anyeonekana maridadi... Muulize Je Lowassa Fisadi au si Fisadi. Naye ajibu kama alivyotakiwa kujibu Dr Slaa.

Halafu pita pita Lumumba pale utawakuta vijana na shati zao za kijani wanacheza karata na kunywa kahawa... Wasalimie...kisha waulize "Lowassa FISADI AU SIYO FISADI" Nao wakujibu kwa namna ambayo alipaswa kujibu Dr Slaa.

Halafu kaa chini pitia maoni na majadiliano ya miaka takriban 10 iliyopita. Utagundua kitu kimoja.

WATANZANIA TUNA PHD YA UNAFIKI.
Hebu naomba namba ya dk slaa ili, nimpigie nimuuluze hilo swali mkuu...au kama vipi mpigie wewe umuulize....

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Back
Top Bottom