Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani

Marekani kama taifa kubwa, wataanza lini kuwakamata mawaziri na vigogo wauza unga hapa Tanzania? Je, wako tayari kutoa donge nono kwa wananchi watakaotaja hao wauza unga?
 
Kutetea Mashoga kwao ni HAKI kama vile tunavyotetea NDOA ya zaidi ya MKE MMOJA aa Baadhi ya Wanawake wetu kuvaa nguo kufunika Nywele zao...

Kuwa na mke zaidi ya mmoja si kama inatetewa, ile ni kitu kilichopo kwenye dini na ni haki ya yule anayeshiriki ila mateso ya kisaikolojia kwa mwanamke japo hawasemi. Kwa hapa Tanzania sidhani kama kuna mwanamme asiye na nyumba ndogo hiyo nabisha.
 
Jaribu Kufanya HIVYO USA hata kama DINI inaruhusu; Kuna DINI USA inaruhusu inaitwa MORMON ina ruhusu MULTIPLE WIVES... lakini Katiba ya USA hairuhusu most MORMON's wenye wake wengi wanajitenga ndani ya USA hawasema wana wake wangapi au wengine wanahamia MEXICO... kama MPINZANI wa URAIS wa OBAMA - Mitch Romney Baba yake Alizaliwa MEXICO sababu ya MULTI WIVES baba yake alikuwa nao;

Kwahiyo... Sheria za NCHI haziruhusu kabisa; KATIBA ni kali zaidi ya SHERIA za DINI...

Florida Kina Dada wenye HIJAB wanaambiwa wavue kupigwa picha ya Drivers License --- HIVYO NDIVYO KATIBA inavyosema....

Kwahiyo ya USHOGA--- KATIBA ya USA ndio inayosema kuwa BINADAMU wote ni SAWA na kila mmoja ana haki asinyimwe UHURU... kwahiyo hata kama DINI zinapinga NI KATIBA ndio SOLE RULER of the LAND not RELIGION...

Ukiangalia MAHAKAMA KUU (SUPRIME COURT) YA USA ina MA-JUDGE 9; 5 ni wadini haswa kwahiyo wangechagua kupinga USHOGA lakini wanapaswa kufuata KATIBA YA NCHI
 
1,Umekuja kufata nini Tanzania?
Au kisa umesikia gesi, mafuta na urenium?
2,Kwanini hukwenda kwa ndugu zako Kenya ?
au washakushtukia na mikataba yako,ukakimbilia tz tusiojua kuchambua kifungu kwa kifungu,tunaitikia tu NDIOOOOOOOOOOO,ka vichaa?
3,Unafaida gani kwa waTZ?kama mnakuja ata hamtaki kutumia maji ya bombani,kazi kutuharibia kodi zetu kwa kuwafukuza wafanyabiashara wadogo na kulipa watu wengine posho kwa kufuata msafara wako?
Ombi,,usije siku nyingine kwani unaweza kufanya uloyafanya sas ukiwa USA,mana mnatechnologia ya hali ya juu kufanikisha hayo,,,ujio wako waTZ tunakosa amani
 
Je umekuja kutekeleza yale ALIOTUONYABaba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?Kwamba
1004570_595635593802718_531868445_n.jpg

kwa vile hatuna viongozi makini
 
Jaribu Kufanya HIVYO USA hata kama DINI inaruhusu; Kuna DINI USA inaruhusu inaitwa MORMON ina ruhusu MULTIPLE WIVES... lakini Katiba ya USA hairuhusu most MORMON's wenye wake wengi wanajitenga ndani ya USA hawasema wana wake wangapi au wengine wanahamia MEXICO... kama MPINZANI wa URAIS wa OBAMA - Mitch Romney Baba yake Alizaliwa MEXICO sababu ya MULTI WIVES baba yake alikuwa nao;

Kwahiyo... Sheria za NCHI haziruhusu kabisa; KATIBA ni kali zaidi ya SHERIA za DINI...

Florida Kina Dada wenye HIJAB wanaambiwa wavue kupigwa picha ya Drivers License --- HIVYO NDIVYO KATIBA inavyosema....

Kwahiyo ya USHOGA--- KATIBA ya USA ndio inayosema kuwa BINADAMU wote ni SAWA na kila mmoja ana haki asinyimwe UHURU... kwahiyo hata kama DINI zinapinga NI KATIBA ndio SOLE RULER of the LAND not RELIGION...

Ukiangalia MAHAKAMA KUU (SUPRIME COURT) YA USA ina MA-JUDGE 9; 5 ni wadini haswa kwahiyo wangechagua kupinga USHOGA lakini wanapaswa kufuata KATIBA YA NCHI

Kwa akili yako, unataka serikali ikatae waislam wasiwe na wake zaidi ya mmoja? Kama katiba ya nchi inaona si kosa kwa muislam kuwa na mke zaidi ya mmoja wewe unaumia wapi? Nikuulize wewe, umeoa? Na kama umeoa, je hauna nyumba ndogo? Sema ukweli.
 
Tusijidanganye hakuna MWANDISHI wetu wa HABARI yoyote MWENYE UBAVU na UPEO wa kumwuliza Rais OBAMA Swali kuhusu Sera za Nje za Marekani au Sera za Tanzania kuhusu UPINZANI NCHINI...

Matatizo ni Mengi ila Waandishi wetu ni wale wenye MRENGO wa ISSA MICHUZI ndio baba ndio baba; Hawafanyi kazi hiyo ya UANDISHI KUNUSURU na KUJENGA SECTA ya MAWASILIANO NCHINI ila Wanaitumia kama KITEGA UCHUMI CHAO kuwa MATAJIRI kwa KUSIFIA UONGOZI; KUFICHA MAKOSA ya VIONGOZI ili tu kupata VIPODOZI wakipata SAFARI ZA NJE...

*** Ukiangalia TRIP ya RAIS OBAMA atakuwa na Waandishi wa Habari SIO YEYE atakayewachagua au OFISI yake bali ni CHOMBO HURU CHA WAANDISHI wa HABARI AMBACHO kitateua waandishi watakao kuwe EMBEDED WITH Mr. PRESIDENT

Watakuwa Wapinzani wa Pande zote Central; Left; Right; Supporters wa Pande zote Central; Left; Right

Kila Mmarekani wapatao 300Million watapata habari Transparent na isiyo na uzito wa Upande Mmoja...

--- Sisi tunapewa Michuzi ndie Mpinga Picha na pia Mleta habari... tunalundikiziwa UJINGA tunazidi kubaki na UJINGA Unable to Question; Unable to differentiate....

Kaka umeelewa thread lakini??? Ni hivi: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani.

Mimi namswalika hivi:
Marekani hana rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu, je hali hiyo inasaidiaje kulinda na kudumisha haki na amani ya dunia??
 
Kwa akili yako, unataka serikali ikatae waislam wasiwe na wake zaidi ya mmoja? Kama katiba ya nchi inaona si kosa kwa muislam kuwa na mke zaidi ya mmoja wewe unaumia wapi? Nikuulize wewe, umeoa? Na kama umeoa, je hauna nyumba ndogo? Sema ukweli.

INA MAANA haukusoma SWALI la MWANAJAMII? ANATAKA KUJUA SERA ZA NJE ZA MAREKANI KUHUSU USHOGA na Mimi ninamweleza JINSI KATIBA YAO ILIVYO

Wewe kwa Mchecheto unanishambulia MIMI --------- YOUR's TRULY
 
Kaka umeelewa thread lakini??? Ni hivi: Swali gani ungependa kumuliza rais Obama kuhusu sera za nje za Marekani.

Mimi namswalika hivi:
Marekani hana rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu, je hali hiyo inasaidiaje kulinda na kudumisha haki na amani ya dunia??

Wana Marafiki wa KUDUMU... UINGEREZA; UFARANSA; ITALY; AUSTRALIA
 
Swali: Ni watu wangapi waliuawa na Sadam Hussein, na baada ya Marekani na washirika wake kumuua Sadam, ni watu wangapi wamepoteza maisha mpaka sasa? Je, kumuua Saddam Hussein kumetatua tatizo au limeongezeka? Je tuendelee kuamini kwamba marekani ni mtetezi wa haki na utawala bora?
 
Wana Marafiki wa KUDUMU... UINGEREZA; UFARANSA; ITALY; AUSTRALIA

Vipi rafiki yake Iraq waliyeshirikiana naye wakati wa vita ya Iran na Iraq? Yupo wapi swahiba wake Osama?
Haya turudi kwenye thread, uliza swali lako ili Salva na Premi wayakusanye pamoja then watufikishie kwa mgeni wetu atupatie majibu!
 
IRAQ hakuwa Rafiki wa US; alikuwa kibaraka wakati wa VITA na IRAN walipomuondoa Rafiki wa US SHAH of IRAN... Wao na IRAQ walikuwa sio Marafiki Roho yao ilikuwa IRAN ndio Maana wakaisaidia IRAQ kwenye VIRA DHIDI yake na IRAN
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom