Swali gani hupendi kuulizwa?

Nadhani kile wanasema umri unavyokwenda uwezo wa kupambanua nao unashuka kiko sahihi. Hawa wazee wetu mda mwingine kuepusha shari bora upotee eneo la tukio kwa muda.

Huyo anaesema huku anatembea kama pastor ni noma sana asee
Tena anasema huku anafanya kazi labda anafua nk
ukiondoka wanapiga simu wamekumiss/ na mm pia wakati mwingine pamoja na mambo yao hayo unakuta nmekaa mahala nawakumbuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom