Mimi toka niambiwe ukiwa na cherehani nne tayari kiwanda,siamini chochote cha serikali hii
Nina maana hakuna diesel prime mover kama ilivyo diesel electric train.this is pure electricUmesoma ukaelewa nilichomjibu, rudia kusoma mlolongo vizuri.
Acha ushamba. Siku hizi kuna hata electric cars barabarani nyingi tu. Tekinolojia ime advance sana. Lengo ni kuachana kabisa na biashara ya mafuta ya disel na petroli. Kikwazo kimekuwa ni hao wenye mafuta kujaribu ku block tekinolojia hii kwa kutumia rushwa. Muda si mrefu magari yote na treni zote zitakuwa full electric na baadaye zitakuwa full electronic (digital). Hivyo usiwe na wasi wasi kwamba trains hizo kama zilivyo hizo electric cars barabarani zinatumia wire za umeme wa tanesco! La haswa.Jamani naomba tuweke siasa pembeni,
Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.
Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.
Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Treni yenyewe si anawawazia tu Wasukuma wenzie? Wacha tu ije iwazimikie poriniJamani naomba tuweke siasa pembeni,
Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.
Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.
Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Wee kiumbe una akil kubwa mnoo ktk wote walio changia huu uziYesu Ni Mungu Na apa hakuna Cha treni ya umeme itakuwa Kama ile srg ya Kenya. Hivi bado mnamuani huyu rais wa mwanza? Kama sukari tu kasema alikuta 5000 hamuoni hamumuoni ni bonge la bogus
Hahaaaaaa!Jamani naomba tuweke siasa pembeni,
Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.
Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.
Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Mi CCM siwaelewi kabisa wanavoendesha nchi hiinaona dalili za watu kulala maporini
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,