Swali Fikirishi: Treni ya umeme itakuja na 'standby generator' au?

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
2,199
2,508
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
 
Mtaganda hapohapo mpk umeme urudi mtaendelea na safari,
 
labda ndio maana ya kupambana ili ule mradi mpya wa umeme ujengwe s.gorge
 
Mgao wa umeme utakuwa mkubwa zaidi na zaidi. Maana huo kidogo tulionao mkulu ataupeleka kwenye matreni yake
Usijali hiyo reli ya standard gauge ikikamilika mradi wa umeme wa stegla utakuwa nao umekamilika. Isitoshe, tuna gesi ya kutosha na mitambo ya IPTL inaweza kutsifishwa, kwa hiyo hebu tuvute subira.

Hata hivyo kwa maoni yangu nahisi serikali inaanzisha miradi mingi kwa wakati mmoja kwa gharama kubwa inayosababisha huduma zingine za msingi zikose ubora. Kama raisi anashaurika, basi nina wasiwasi na uwezo wa washauri wake.

Ngoja tuone!
 
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Hizo treni zina engene za diesel ambapo hutumika pale umeme ukileta hitilafu yoyote.
 
Hizo umetaja ndio zinatumika na TRL saiv, diesel inaendesha generator kubwa linazalisha umeme, umeme unaozalishwa unaendesha motors.
Sio hivyo hizi ni full electric hakuna mambo ya diesel,lakini ugavi wa umeme upo main na emegency supply,pia kwasababu watakuwa ndani ya grid,ni wazi train ya umeme inapewa priority kama hospitali na chumba cha upasuaji.
 
Back
Top Bottom