Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,508
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,
Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.
Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.
Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.